Moto waunguza ukumbi wa Bunge Afrika Kusini

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa moto huo ulianzia kwenye moja ya ofisi ndani ya jengo hilo kisha kusambaa mpaka kwenye ukumbi wa Bunge.

Madhara kwa binadamu kutokana na moto huo hakuna mpaka sasa, ambapo vikosi vya zimamoto na uokoaji nchini humo vinapambana kwa ajili ya kuuzima moto huo.

sou.jpg
 
Ni aibu kwa jengo nyeti kama hilo kuungua kizembe hivyo.
Yaani moto unaanzia kwenye ofisi na kuserereka kote huko, hawakuuona tu.
Au ni moto wa Jacob Zuma?
 
Ni aibu kwa jengo nyeti kama hilo kuungua kizembe hivyo.
Yaani moto unaanzia kwenye ofisi na kuserereka kote huko, hawakuuona tu.
Au ni moto wa Jacob Zuma?
Hahaaaaa......😁

Mbona unamtaja Jacob Zuma??

Au unadhani atakuwa ameunguza documents, zinazohusu Kesi yake?
 
Back
Top Bottom