International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA - Amesema yuko tayari kuwapatanisha Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido - Hata hivyo Papa amesema atafanya kazi...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mataifa matano ya US, UK, Ujerumani, Uholanzi na Uswisi yamemuomba radhi Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini baada ya yeye kulalamika kwamba mataifa hayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimefanikiwa kuangalia na kuisikiliza hotuva yote ya Raisi wa Marekani Donald Trump Katika hotuba yake amezungumzia mambo mengi ya kitaifa na kimataifa Kitaifa amejaribu kuainisha...
1 Reactions
2 Replies
746 Views
Habari za huko nyumbani, Kwa wale mliokuwa mubashara kwenye runinga zenu nadhani mlioona kituko cha mwaka alichofanya Rais Jimenez Pablo Martinez wa hapa Bolivia baada ya kumpiga mkwara mkewe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Raia wa India Raphael Samuel mwenye miaka 27, anakusudia kuwafungulia mashtaka wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake. Samuel anasema kwamba ingawa anawapenda wazazi wake, lakini walimzaa kwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanafunzi Shirima kutoka shule ya sekondar.Moshi ameshika nafasi ya kwanza.katika mashindano.ya jumuiya.ya Afrika mashariki.katika utambuzi wa vitu mbalimbali vinavyohusu taaluma na uandishi.wa...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka Jan 19, 2019 15:34 UTC Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Habari za alasiri wana JF. Niende moja kwa moja kwenye habari husika. Ikiwa ni siku 14 zimepita tangu ndege aina ya Piper Malibu itoweke ikiwa na mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala pamoja na...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Kuliwahi kuwa na ustaarabu ambao ulitikisa dunia. Ambao uliweza kuunganisha mataifa makubwa katika mabara ambao ramani yake ilianzia bahari moja hadi bahari nyingine, kutokea kaskazini hadi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
#: Pope Francis arrived to Abu Dahbi, United Arab Emirates, in the first ever papal visit to the Arab Peninsula. Francis will also be the first pope to celebrate Mass in the region. He visited...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kweli duniani kuna mambo! Wajerumani wanaojisifia na barabara zinazoruhusu spidi yoyote uwezayo kukamua toka kwenye gari yako, sasa wameijia juu serikali kwa kutaka kuweka max speed limit ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uamuzi huo umechukuliwa katika mkutano wa Tume ya Uchaguzi CENI Jumatatu wiki hii. Uchaguzi Mkuu haukuweza kufanyika katika maeneo hayo Desemba 30, 2018. Sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu Tisa wamekufa nchini Marekani kutokana na baridi kali ambayo imelikumba eneo la nchi za Amerika ya Kaskazini, baridi ambayo inasemekana ni mbaya kutokea katika eneo hilo katika kipindi cha...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kijiji cha Locana nchini Italy kimetangaza ofa ya €9,000 (Tsh.23Mil) kwa mtu aliye tayari kuhamia kijijini hapo Kijiji cha Locana kipo umbali wa takribani 45km kutokea mji wa Turin Meya wa...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Ndege ndogo ya abiria imeanguka katika makazi ya watu kwenye jimbo la California nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu watano akiwemo rubani wa ndege hiyo. Watu walioshuhudia ajali hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Man accused of calling 911 hundreds of times
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Izrael atangaza kwamba ujenzi wa ukuta wa chuma umeanza katika mpaka wa Gaza Ukuta wa chuma waanza kujengwa mpaka wa Gaza Israel yaanza kujenga ukuta wa chuma katika mpaka wa Gaza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa...
10 Reactions
61 Replies
10K Views
Thousands of passengers have been left stranded after air regulators grounded Turkmenistan Airlines for safety reasons. The UK's Civil Aviation Authority said flights from Birmingham and London's...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Leo February 4 2019 kikosi maalum cha uokoaji kimesema ndege ndogo aliyokuwa amepanda mshambuliaji mpya wa Cardiff City Emiliano Sala akiwa na rubani wake David Ibbotson imeonekana ndani ya...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Back
Top Bottom