Katika pita pita zangu kwenye viunga vya mitandao ya kijamii Twitter, JF, Instagram n.k. kuna namna kifo cha Mzee wetu Khamenei kimewachanganya akili vibaya mno, hasa wale wenzangu wa imani...
Ahmedinajad ni nzima wa afya
Kuna propaganda humu kuwa eti aliuliwa
Uzushi umekua mwingi sana humu
Netanyahu yuko wapi?Kuna tetesi kuwa ameangamizwa na makombora ya Iran yeye na Cabinet yake
https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8
Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer
Kamanda yupo Live
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya...
UAE na Qatar zinashawishi washirika kusaidia kumshawishi Trump 'kufikia njia ya mkato ambayo itawezesha operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran ziwe fupi', kulingana na ripoti ya...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Kuuawa kwa kiongozi wa dini ya kiislamu pale Tehran-Iran, Grand Ayatollah Seyyed Imam AIi Hosseini Khamenei, kumeamsha hasira, chuki na uhasama usiomithilika na wenye sura mpya ya kidini ambayo...
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.
Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya...
Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la...
Zimbabwe imekataa msaada wa afya wa Dola za Marekani milioni 367 kutoka Washington. Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa ilisema kuwa kifurushi hicho kinaweza kupunguza uhuru wa taifa na kudhibiti...
Ripoti zisizothibitishwa zinasema kwamba Ayatollah mpya ameuwawa katika shambulio la anga! Vyombo vya habari Iran bado havijatoa taarifa rasmi zaidi kuhusiana na kifo cha Ayatollah mpya.
Watu wasiopungua 169 wameuawa na kuzikwa katika kaburi la pamoja kaskazini mwa Sudan Kusini, maafisa wawili wa eneo hilo wameiambia AFP siku ya Jumatatu, huku nchi hiyo ikishuhudia ongezeko kubwa...
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za...
ππππ πππ πππππ ππ πππππ ππππππ
The EAC Heads of State are set to convene for the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of State on 7th March 2026, in Arusha, United Republic of Tanzania.
Theme...
Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa...
Jinsi wachambuzi na wafuatiliaji wa siasa za kimataifa tuna tilia shaka juu ya uwezo wa jeshi la Urusi kuhusu performance yake huko katika vita vya Ukraine.
Ni wakati sasa kuleta hoja ya kuanza...
Iran fires ballistic missiles at Israel, 9 dead in Beit Shemesh, 12 killed nationwide
Bomb shelter struck as barrage of projectiles penetrates Israel's air defences, killing several and wounding...
Jeshi la Israel limesema limemuua kamanda wa ujasusi wa Hezbollah, Hussein Makled.
Kwa mujibu wa jeshi hilo, Makled β aliyekuwa mkuu wa makao makuu ya ujasusi wa Hezbollah β aliuawa katika...
Marekani imeiomba UK kutumia airbase zake kwenye vita dhidi ya iran mara baada ya bases zote za USA kuharibiwa vibaya middle east.
Waziri mkuu starmmer amethibitisha kukibali ombi hilo.
Na vipi...
Kwenye hii vita kumejaa sana video za AI na picha za AI
Unakuta kabisa mtu anakutumia video au picha ya ndani ya israel eti bomb limepiga hapa wakati kwasasa kwa muujibu wa taarifa wananchi wote...