International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ferdinand "Bongbong Marcos" Jr. ameshinda urais wa Philippines kwa zaidi ya asilimia 50 za kura huku mpinzani wake wa karibu akiwa na wastani wa 30%. Baba yake Dikteta Ferdinand Marcos aliitawala...
2 Reactions
6 Replies
820 Views
Katika mataifa yaliyopata Hasara kubwa sana katika Vita ya Dunia ni Urusi kwa kuanzia miji yake mikubwa kuwa sehemu ya mapambano. Wakati Joto la vita likianza kutukuta Stalin na Viongozi wengine...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200...
1 Reactions
1 Replies
885 Views
09 May 2022 Manila, Philippines 🇵🇭 Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka. Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa. Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia...
39 Reactions
61 Replies
7K Views
Putin: Nchi za magharibi zilikua zinataka kutuvamia Katika hotuba ya Vladimir Putin siku ya maadhimisho ya siku ya ushindi, Alisema nchi za Magharibi hazikutaka kusikiliza Urusi, na walikuwa na...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa yanayoendelea huko vitini ni mapenzi, vilio, mashaka na ushetani wa hali ya juu sana. Kila siku makombora ya Russia yanaangamiza miji, miundombinu, na kuua au kujeruji mamia...
19 Reactions
95 Replies
6K Views
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye? Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi. Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya...
3 Reactions
12 Replies
947 Views
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa...
20 Reactions
60 Replies
5K Views
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
5 Reactions
23 Replies
2K Views
.Wote tumeshuhudia mfumuko wa Bei za bidha mbalimbali ulimwenguni kote. Kwanza tulishuhudia uchumi wa Dunia ukitikiswa na ugonjwa wa corona miaka miwili iliopita. Hali iliyosababisha uzalishaji...
2 Reactions
5 Replies
685 Views
Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Imefahamika kuwa Marekani ilishiriki katika kuisadia Ukraine kuipa taarifa za kiintelijesnia mahala ilipo meli ya kivita ya Urusi ya Moskva kabla ya meli hiyo kushambuliwa na kuzama. Chanzo...
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Uingereza imeeleza kwamba itaipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wa thamani ya Paundi bilioni 1.3 (Sawa na Dola bilioni 1.6) , hayo yameelezwa kabla ya kikao cha kundi la nchi 7 (G7) zenye...
0 Reactions
16 Replies
804 Views
Muungano wa Mashirika ya Ndege nchini Nigeria umesema utasimamisha safari zote za ndege kuanzia kesho Jumatatu kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, Muungano huo umesema bei ya mafuta ya ndege...
3 Reactions
7 Replies
855 Views
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine. “Bado, nitasema kitu...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral...
39 Reactions
183 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…