Mrejesho uboreshwaji barabara ya bandari kurasini

Mrejesho uboreshwaji barabara ya bandari kurasini

nzoka ya pi

Senior Member
Joined
May 16, 2017
Posts
153
Reaction score
107
Ni kama wiki Imepita nilileta hoja juu ya ubovu wa barabara iliyo Bandarini inayoelekea kurasini.Napenda kutoa pongezi zangu kwa mamlaka husika kwa kuliona hilo, na sasa uboreshaji wa barabara hyo umeanza kwa kasi na kwa kuridhisha. Hongereni
 
Hiyo barabara haijawahi kuwa nzuri kwa kipindi cha mwakamzima.
Kila mara yanaibuka mashimo na kuharibu magari, sijui kodizetu zinafanya kazigani.
 
Hiyo barabara haijawahi kuwa nzuri kwa kipindi cha mwakamzima.
Kila mara yanaibuka mashimo na kuharibu magari, sijui kodizetu zinafanya kazigani.
Ni kweli na nafikiri uwepo wa malori mengi eneo hilo nao umechangia uharibifu wa hyo barabara
 
Bara bara za kutoka bandarini zinapitisha mizigo mizito sana hivyo haziwezi kudumu sawa na zile za city center ambazo zinapitisha boda boda, Bajaj pamoja na Vitz na Virikuu...
 
Ni kweli na nafikiri uwepo wa malori mengi eneo hilo nao umechangia uharibifu wa hyo barabara
Kinachotakiwa ni kujenga barabra yenye kiwango cha kuweza kuhimili uzitowa Maroli yanayo tumia barabarahiyo.
Waache kujenga jenga kwa kubana matimizi alafu mwisho inakuwa hasara ya kurudiarudia kila wakati.
 
mkuu nzoka ya pi wakimaliza nishitue maana siku hizi napitia huku kilwa road maana siyo kwa mashimo yale. Wakimaliza wale wa Kibada-Tungi tafadhali maana barabara baada ya mvua haifai kabisa
 
mkuu nzoka ya pi wakimaliza nishitue maana siku hizi napitia huku kilwa road maana siyo kwa mashimo yale. Wakimaliza wale wa Kibada-Tungi tafadhali maana barabara baada ya mvua haifai kabisa
Poa nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom