Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni na kazi wadau. Swali hapo juu ni lenu site. Mnakumbuka miaka 5 au 6 iliyopita, watangazaji hawa walifunika sana Capital Redio ya jijini Dar es salaam. Mwenge kujua walipo atuambie. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Watu wengi hasa viongozi Wa serikali wanachukulia kana kwamba watu wanaopeana mimba ni maadui ndio maana kila MTU anasisitiza adhabu kubwa kwa wahusika kama ndio sukuhisho. Ukweli ulio waz ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo...
15 Reactions
829 Replies
114K Views
Huenda hujaamua kudadisi kwa undani Muelekeo wa Dunia yetu na mustakabali wake lakini nipende kukujuza kwamba mambo yanakwenda kwa kasi KULIKO unavyoweza kudhani kulinganag na Teknolojia ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe...
7 Reactions
243 Replies
20K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, naomba msaada wa mashirika au kampuni ambazo naweza pata msaada wa vitabu kwa ajili ya shule... Any company ambayo nitawaandikia na wanaweza nisaidia ndani au nje ya nchi.. Sinto omba...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Ningependa kuikumbusha serikali kusimamia maadili ktk muziki. Kama kipindi kile walipokomalia nyimbo ya Snura. CHURA. Kwasasa kuna wimbo upo kwenye chati sana unaimba MWANAUME MASHINE. Hakika...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuendelea kujengwa kwa viwanda vingi Tanzania kutaongeza ukuaji wa uchumi maradufu na kuipiku Kenya, maana hadi sasa bidhaa za Kenya zinazidi kupungua sokoni, wakenya wamebakiwa Blue band tu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Ni ndefu mno soma kwenye red kujua mapigo yalipoanzia. Tujikumbushe 31 October 2014....Stanley Chungu,Anwar Anuary Mkama,Amini Amini Mgheni,Ramadhan Ramadhani Sendah,Lameckism Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimekuwa mtumiaji wa Huduma za UDART maarufu kama usafiri wa mwendokasi. Binafsi Huduma za taasisi hii kiukweli zinatolewa chini ya kiwango tofauti na nchi nyingine duniani ambako huduma za namna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa PAYE hii ninayokatwa kila mwezi ambayo nimechangania kwa kipindi changu cha ajira sipashwi. Kupita barabara yenye shida hizi, Kukaa mtaa usiokuwa na miundombinu inayofaa Kutibiwa kwenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Baada ya mchele wa plastic kwa sasa wachina wanaenda kutuletea maharage ya plastic Hii inch ina dola na viongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Poleni na kazi wadau. Swali hapo juu ni lenu sote. Mnakumbuka miaka 5 au 6 iliyopita, watangazaji hawa walifunika sana Capital Redio ya jijini Dar es salaam. Mwenye kujua walipo atuambie. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UCHAMBUZI WA KITABU; (Jinsi Watu Wanavyofanya Makubwa Bila Ya Kuwa Na Majina Makubwa). Kwenye jamii zetu, imezoeleka kwamba kiongozi ni mtu ambaye anafanya maamuzi makubwa, maamuzi magumu na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toka upungufu wa watumishi ktk kada mbalimbali kuongezeka baada ya ktolewa kwa report 1 UHAKIKI vyeti fake, je najiulza hv serikali inafkr nn kuzba pengo la watumishi hasa ktk kada nyeti kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serengeti. Washtakiwa watatu wa makosa ya ujangili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwenye kesi tofauti baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MIHADARATI: Abiria wa basi la Bunda kutoka Mwanza kwenda Dodoma wakwama Misungwi baada ya basi hilo kukaguliwa na polisi na kukutwa na mifuko 4 ya Mirungi Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mheshimiwa waziri, pole kwa majukumu. Kumekuwa na migogoro mingi ya ardhi katika nchi yetu, mara kuuziwa ardhi mara mbili mbili, mara mipaka etc. Vile vile kumekuwa na ujenzi holela hata sehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilicheka sana Mh Mwijage aliposema wale wote waliovaa viatu vya bora enzi hizo ni wahenga, Je na yeye mh. Waziri ni Mhenga?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…