Habari za asubuhi wanajamii.
Katika tafakari zangu za maisha, niliwahi kutamani kuwa mwanasiasa. Lengo kuu lilikua niwanie nafasi ya juu kabisa ya uongozi katika nchi yangu Tanzania. Sababu kubwa...
Kwa wale wahenga watakuwa wanamkumbuka baunsa mmoja alikuwa na mwili wa kawaida tu, wala hajafutuka kama hawa wa siku hizi lakini akisimama wote mnakaa.
Mastaa wote waliokuja Tanzania miaka hiyo...
Ni commercial car sasa kwa kua halitafanya kazi TRA watanisaidiaje ili nisilipe maato na motor vehicle licence?
Kwa sasa sasa nasafiri kwenda safari ya mbali kidogo
Utaumbuka kwa sasa Mwanza ni Jiji na ina Wilaya mbili yaani Ilemela na Nyamagana. Jiji la Mwanza lina ofisi moja tu ya TRA yaani ofisi ya makao makuu ya Mkoa ndiyo inahudumia wananchi wote wa Jiji...
Thanx to dada Dina Marios, mikojo hii ni baadhi ya masharti ya mganga kwa waliopenda kuwa matajiri. Masharti mengine ni pamoja na kuvaa kiatu kimoja,kutokula nyama wala wali,kupanda dalala na...
Je kumuomboleza ' Marehemu ' kwa Nyimbo za ' Maombolezo ' pale tu habari za ' Kifo ' chake zikisikika na kabla bado ' hajazikwa ' huku ' Watu ' wengine nao ' wakimpamba ' hata kwa mengineyo ambayo...
Baada ya kufungua maonyesho ya Sabasaba leo jioni Mh. Rais Magufuli amekasirika sana baada ya kukuta katika maonyesho haya ya kimataifa hakuna banda la Baraza la Kiswahili(BAKITA).
Anasema huwezi...
MKAZI wa Kijiji cha Lyapona, Kata ya Kaengesa, Sumbawanga mkoani Rukwa, Victoria Kalungwizi (67), ameuawa kwa marungu kwa tuhuma za kuiba mahindi shambani.
Tukio hilo lilitokea juzi katika...
Ni mtangazaji mzuri sana wa habari za Biashara na uchumi kwa hapa bongo. Jamaa siku zote yupo smart sana!
Mtangazaji huyu wa habari za uchumi na biashara wa kituo cha TBC1 anaonekana mtu wa maji...
Maadui wakubwa wa Tanzania ni maradhi, ujinga na umaskini.
Hili la watu kulishwa mchele feki linaondoa vita ya maadui wetu watatu. Kwani kutokana na watu kula mchele huo wa "plastic" adui maradhi...
Binadamu udongo siku moja utarudi mavumbuni wengi wetu tunavyoamini. Sitaki kuandika mambo mengi swali kwa mwana JF, Hivi unajua siku moja utakufa? Je hali hiyo ya kujua kwamba utakufa (sense of...
Salaam wana jamvi,
Napenda kuwasilisha mapendekezo yangu kwa Kitengo cha Usafirishaji cha Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (almaarufu Mwendokasi) kwa kushindwa kuendana na kasi ya ongezeko la...
AFYA ya mtoto Mwenge, aliyenusurika kifo baada ya kutumbukizwa chooni na kukaa kwa zaidi ya saa 14 kabla ya kuokolewa akiwa hai, inaendelea kuimarika, huku akiendelea kupatiwa matibabu katika...
Kuwa dalali, hauhitaji kuwa na mtaji wa fedha, hauhitaji kuwa na madegree, haihitaji kudamka asubuhi kuwahi kazini, haina cha kupoteza, kazi tamu sana udalali.
Mtu atakupigia simu mwenyewe...
*What is your Salary?*
I am not interested in the amount but the type of salary.
My friend, there are different types of salaries. Read till the end and you will understand.
There is no...
Habari wana jukwaa.
Ni miaka miwili sasa toka tumefanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani.
2015-2020 vyama vya upinzani vilifanikiwa kupata idadi kubwa ya wabunge na madiwani tofauti na...
Polisi Wa Usalama barabarani mwenye cheo cha constable, aliyepo kituo cha kimara korogwe ana lugha chafu na za ovyo kwa madereva na watumiaji Wa barabara hiyo, Naomba vyombo husika vimchukulie...
Habari wakuu
Mwishoni mwa wiki jana nimesafili kutoka Guangzhou hadi Nairobi kwa ndege ya shirika la China Southern Airways na kumalizia safari yangu Dar es salaam kwa Kenya Airways.
Ndani China...
Je ni nani aliyewaambia Waandishi wa Magazeti ya Shigongo ya Global Publishers kuwa Watanzania wanapenda na wanataka kila siku kuona Vichwa vyao vya Habari vikiwa na taarifa zile zile za ' Uhasama...