ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,517
- 3,400
Ni mtangazaji mzuri sana wa habari za Biashara na uchumi kwa hapa bongo. Jamaa siku zote yupo smart sana!
Mtangazaji huyu wa habari za uchumi na biashara wa kituo cha TBC1 anaonekana mtu wa maji sana, kwani muda mwingi akiwa anasoma habari hupepesuka kunakotukuka huku mikono ikitetemeka mno kwenye zile karatasi za taarifa ya habari.
Baniani mbaya ila kiatu chake dawa!