Kwa mnaopenda utajiri wa kishirikina...masharti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mnaopenda utajiri wa kishirikina...masharti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leornado, Dec 24, 2010.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanx to dada Dina Marios, mikojo hii ni baadhi ya masharti ya mganga kwa waliopenda kuwa matajiri. Masharti mengine ni pamoja na kuvaa kiatu kimoja,kutokula nyama wala wali,kupanda dalala na kutolipa pango la nyumba mliopanga, kulala chini, upokee tu cm lkn usipige, usipande taxi we na daladala tu, suruali na shati mbili tu zisizidi, chupi moja tu, acudo, FM acadimy, Twanga pepeta wakipiga usiende, msg usijibu nk.
  Masharti haya ni ya kisasa zaidi. Kuna tofauti gani na kubakia maskini??
  [​IMG]
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  A dry crust with liberty is better than a king's luxury with a chain.
   
 3. L

  Leornado JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  waganga wajanja saana, unapewa masharti ambayo ukifata lazima utabana matumizi afu pato linaongezeka. Wajinga ndo waliwao..
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  He! Nasikia wengine huwa wanaambiwa wasinye.
   
Loading...