Habari wakuu,
Nimepata taarifa toka kwa ndugu yangu aishie Kibiti kuwa kuna mauaji yametokea usiku wa kuamkia Leo katika kijiji cha Ruaruke. Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Mzuzuri...
"Kazi imekushinda nenda ukalime".
Yule muajiriwa/Boss flani hupenda kuitumia hii kauli kwa kuwa yeye anaetegemea kupata ujira kupitia muajiri wake ama kujilipa.
Dhana ya kilimo inachukuliwaje...
Tukumbushane wapendwa.
Huko tulikotoka, kule tulikowahi kuishi na pengine hata humu tunamoishi leo, yupo MBABE wa eneo, iwe mtaa! Iwe Kitongoji! Iwe Kijiji! Ni Mbabe. Anaogofya! Anaogopeka! Hawa...
Siku chache baada ya kutangaza kuwasilisha shilingi milioni 40 katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amefafanua sababu za kutomrejeshea fedha huyo...
Habari wakuu,
Kama mwezi mmoja uliopita nilipata simulizi juu ya jiwe ambalo ukiweka simu juu yake inajichaji, Jiwe hilo liko mahali fulani ambako siwezi kusema ni wapi kutokana na walionipeleka...
Naibu Waziri Mpina hongera kwa kazi ya kukagua mito ya Dar es Salaam na kugundua sumu mbalimbali zilizomo ambazo zingeathiri afya za wakazi. Hapa mbezi beach nyuma ya kiwanda cha Interchick kuna...
Meneja Masoko wa Mantrac Bw Valence Pantaleo
Kampuni ya Mantrac Tanzania imezindua mpango maalum wa kukodisha na kumiliki mitambo kwa kulipa kidogo kidogo ili kuwarahisishia wateja mzigo wa...
Kama kichwa kilivyo, Dar es salaam boy leo mida hii nilikuwa na vijana wa Lumumba, moja wao akanzisha topic baada ya kuona timu ya Everton imewasili nchini eti ni baadhi ya mafanikio ya mkulu, kwa...
Hamjambo wenzangu?
Natumai kusafiri on Teusday ama Wednesday Kutoka Mwanza kuelekea Dar. Naomba mniambie ni basi lipi zuri lenye comfort kabisa na ambayo iko condition nzuri ambayo haitofanya...
Nimeiona DSTV channel namba 295, TV E Tanzania. Inagonga video za Music mwanzo mwisho. Ni nani anamiliki hii hapa Tanzania?
EATV na Clouds TV wakae chonjo...
Bwana Yesu apewe sifa, Tumsifu Yesu Kristo, Mapendo....
WanaJF, MUNGU hamtupi mja wake. Leo nimeamka saa 11 kasoro kuelekea mjini kwa ajili ya mihangaiko ya siku, ghafla kuna rafiki yangu...
Salaam wanaJukwaa
Nlipata taarifa hisio rasmi kwamba kwa jinsi rais anavyobana akakututabiria wanaume wote ambao tunaishi mijini bila kazi maalum maisha yatatushinda na kurudi vijijini kwetu...
Nimepata ujumbe kuwa nitume ujumbe kwa watu 10 Kisha baada ya hapo kesho shida zangu zote zitaisha. Dah...
Matajiri wakubwa bado wana changamoto kibao zinawazunguka.
Je mimi ni nani hadi shida...
Wakuu poleni na mihangaiko..
Nimekuta mada sehemu hadi nikashindwa niamini kipi na niache kushika kipi mada ilikuwa kuhusu mnyama kifaru eti kuna mmoja wa wachangiaji akasema kuwa kifaru akiwa...
Hapa jamii sasa pamekumbwa na Roho ya uzinifu mpaka si vizuri. Imefika kipindi watu hawachangii hoja za msingi ila ukianzisha ka topic ka mapenzi basi hapo ni mtiririko wa porojo na Ma-likes...
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Maabara wa Mazingira, Wakala wa Maabara wa Mkemia Mkuu wa Serikali, Emmanuel Gwae, wakati wa ziara ya Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais...