Nimefuatilia matangazo live ya televisheni mkutano mkuu wa ccm bila shaka imeonekana wazi Tbc inachukua picha ktk ubora hafifu sana kuanzia kwa mzungumzaji na coverage angle walioona hilo wanaweza...
Kwa kweli mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matukio kadhaa yanayokuwa yakirushwa live na hii television yetu ya Taifa
Kwa kweli ubora wa picha zake ni jambo linalokera na...
Ni kawaida kwa nyumba kujengwa kwa kutumia matofali au katika baadhi ya maeneo ya vijijini kutumia udongo. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, huko kaskazini mwa Tanzania, kikundi cha...
Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhandisi Hamadi Masauni amesema, Serikali italazimika kubadili matumizi ya majengo ya ofisi za mifugo ya halmashauri ya wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa...
Mwenyekiti wa Kitotongi cha Kereba kijiji cha Karagatonga kata ya Kwihancha Wilayani Tarime Mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Marwa Wankuru Gasaya amekutwa ameuawa na watu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kukemea vitendo viovu vinavyosababishwa na ukosefu wa uadilifu kwa baadhi ya watendaji,wasimamizi wa sera...
Samahani wahenga wenzangu naomba kuuliza hivi Hisa za vodacom bado tu hazijapelekwa kwenye soko la Dsm exchange tu
Au ndio tumepigwa kama Desi
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Mwanamume mmoja amefanikiwa kusafiri na mkebe wa bia pekee kama mzingo nchini Australia.
Mwanamume huyo ambaye alitambuliwa kama Dean Stinson alisema kuwa rafiki yake alikuwa amependekeza hilo...
Dear Customer, Tigo will upgrade their systems on 13.07.17 from 12AM to 4AM resulting in downtime for Bank to TigoPesa transactions. Sorry for the inconvenience.
meseji hii ya bank sijaielewa...
Habarini Wanajamvi?
Pamoja na hilo swali katika kichwa cha habari, pia niulize "Je, ipo sheria ya usalama barabarani inayokataza matumizi ya simu wakati wa kuendesha gari hapa Bongo"?
Leo...
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha #EFM, Seth Katende (Bikira Wa kisukuma) umehifadhiwa leo kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar, Mungu aiweke...
Kupitia Ubalozi wa Japan wamepata dollars 150,000 ili kujenga Idara ya Dharura ktk Hospital ya Temeke kama ilivyo Muhimbili ili kupunguza Vifo vya wagonjwa mahututi wanaofika japo.
Wagonjwa wengi...
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki amesema watumishi wa umma walioghushi vyeti watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Kairuki amesema hayo...
Wanajamvi hii leo weekend,
Baba Salama ndio nimetoka kusalimiana na wadau kitaa baada ya shughuli kubwa iliyoniweka bize kwa takribani juma zima.
Maana mzee anasema tupige kazi na mimi nampa...
Yaani wilaya hii hayaishi masaa 24 bila imeme kukatika
Hii ni hasara kwa watumiaji ila zaidi serikali haipati mapato ya kitosha
Jamani simjui meneja huyo ila amechoka nashauri apumzike ije nguvu...