Kumbukumbu zikiwa bado mbichi vichwani mwa watu juu ya tukio la kutobolewa macho kwa kijana Said Mrisho linalotajwa kufanywa na Salum Njwete ‘Scorpion’, mapya yameibuka yakiihusu familia hiyo kwa...
Katika kuangalia movie mpya ya Revolt angalau sasa tunapata mwanga kuona kiswahili kinazidi kusogea mbali
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
PART 2 ya stori ya Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Fadhil Mshamu, mkazi wa Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani aliyenaswa akiwa kwenye mchakato wa kutaka kuvunja amri ya sita na mwanaye wa kumzaa...
Hamna asieujua ukubwa na umaarufu wa club ya Everton duniani, hivyo ujio wake hapa nchini ni fursa kubwa sana kwa wizara na bodi ya utalii kuitumiai.
Watu wengi hulipia matangazo yao ya biashara...
Kumekuwa na malalamiko kadha wa kadha kuhusu kununuliwa kwa madiwani wa CHADEMA huko Arumeru, binafsi sipingani na malalamiko hayo. Lakini kuna mambo yanayonifikirisha zaidi katika kauli...
Sio kwamba sijui ile calculator kwenye mtandao wa TRA ila haifuatwi na tunabaki njia panda kujua ni kodi kiasi gani utatozwa iwapo uta import gari kutoka nje. Rafiki yangu ame import gari na...
Ninasikitika saaana na naona aibu kujiita mtanzania,kila nikifikiria baadhi ya mambo najikuta si TZ,eti SPORTPESA wameandaa mashindano na wakatangaza kuwa mshindi wa mashindano hayo atacheza na...
Kufuatia taarifa ya ajira za walimu baada ya uhakiki wa pili wamegundua walimu wa sayansi na hisabati waliomba ajira wenye vyeti fake 2700 na wenye vyeti sahihi ni 381 tu.
Nadhani kuna haja ya...
Jengo la utawala katika shule ya Msingi Little Treasures.
Muonekano wa baadhi ya madarasa katika shule ya msingi Little Treasures.
Ramani ya Afrika iliyopo shuleni hapo.
Majengo yaliyopo katika...
Baada ya kuwepo maneno mengi toka kwa baadhi ya wapenda mabaya kuwa mapato yameshuka, kuwa ukusanyaji umekuwa mdogo, uchumi ni mbaya, nchi inadorola na maneno mengi ya kukatisha tamaa hatimae TRA...
Mwanamke mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumchoma mumewe na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni kisu na kumsababisha kupoteza maisha tukio lililotokea Julai 10 mwaka huu...
Habari wakuu..
Nimefuatilia kwa karibu mashindano Haya yanayofanyika jijini Nairobi nimeona kwa kiwango Kikubwa wakenya wakizidi kupromote mziki wetu Kwan Nyimbo nyingi za bongofleva na gospel...
Wakuu habari za kazi.
Kuna tetesi kua watumishi wa umma wasio peleka Vitambulisho vya Utaifa kwa Human Resources au ofisi husika kama ilivyoagizwa kwaajili ya uhakiki, hawatapata mshahara wa...
Nyakati za asubuhi na jioni huwa inakuwa kero sana kwa wakazi wa jiji wanaotumia usafiri wa mwendokasi.
Abiria ni wengi sana lakini mabasi ni machache sana muda hiyo.
Madereva nao wanaringa...
HII MISTARI IKO SAMBAMBA AU PARALLEL?
Unapomfundisha mwananfunzj wa darasa la saba hii mistari ni sambamba halafu akifika kidato cha kwanza unamgeuzia kibao na kumwambia hiyo mistari iko parallel...
Habari wanajamvi,
Kutokana na ugumu wa maisha kwa sasa wapangaji wengi wanashindwa kulipa kodi zao kwa wakati. Allowance hamna hivyo wanashindwa kubudget mishahara. Pendekezo! Ni heri mwenye...
Waziri mkuu,makamu wa Rais,Daud Bashite na mhenga mmoja aitwaye William malecela ambaye ni mjumbe wa baraza la wazazi la ccm na think tank mkubwa tu maana ni genius yule bwana.
Wengine wote...