Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,354
- 2,144
PART 2 ya stori ya Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Fadhil Mshamu, mkazi wa Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani aliyenaswa akiwa kwenye mchakato wa kutaka kuvunja amri ya sita na mwanaye wa kumzaa.
Kisanga hicho kilitokea Juni 27, 2017 ambapo ili kuweka mambo sawa, mwandishi wetu ameenda mpaka nyumbani kwa mama wa binti aliyenusurika kufanyiwa unyama huo ambapo amefunguka mambo mengi kuhusu tukio hilo.
Antonia Mango ndiyo jina la mwanamke huyo ambaye ni mama mzazi wa binti aliyenusurika kuliwa uroda na baba yake, ameeleza kwa uchungu juu ya unyama huo ulitaka kufanywa na mumewe huyo ambaye kwa sasa hawaishi tena pamoja.
Part 2: