MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI (MKIRU)
Je ni Ugaidi, Chuki za Kisiasa na Jeshi La Polisi au Ni Uhalifu tu Mwingine!?
1. Je Ni Ugaidi Kama Ule wa Al-Shabab
2. Je Ni Chuki Tu Za Kisiasa
3. Je Ni...
Walimu wa shule mbalimbali za msingi na sekondari wa Manispaa ya Temeke, wamelalamikia usumbufu wanaopata katika zoezi la uhakiki wa taarifa zao kwenye mfumo wa kielektroniki.
Walimu hao kutoka...
Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio...
Date : 25/05/2017
Office of the President of Tanzania
Republic of Tanzania
Dar-es-Salaam
TANZANIA
Honorable President Sir,
Sub.: Fraudulent activities taken place in Tanzania
This is to bring to...
Wazee wanaoishi katika halmashauri ya mji mdogo wa Nzega Mkoani Tabora wameiomba serikali kufuatilia na kuhakikisha uwepo wa dawa na vifaa - tiba vya kutosha katika vituo vya afya na hospitali ili...
JF Kwenu,
Mkuu wa Wilaya ya Songwe bwana Samwel Jeremiah amesababisha wakaazi wa Mbangala na Sanza kuyahama makazi yao.
Wananchi wameamua kutoroka majumbani kwa sababu ya kitendo cha mkuu huyo...
Wakuu.nimekuwa napata shida sana ! Na majina ambayo tunawapa watoto wetu ama wazazi waliyowapa wazazi wao ambayo baadae huwa yanakuja kushabihiana ama na maisha yao au tabia zao.
mfano
Tabu:
watu...
Mimi ni kijana miaka au ukipenda niite mzee miaka 48 si kidogo, sasa wakuu naomba ushauri wenu ni hvi, nimeajiriwa mshahara sio mbaya , nina watoto 3 sasa shida nimewekeza sana kwenye elimu ya...
Unakuta mtu sasahivi ana miaka 63 ila vyeti vinaonyesha ana 56.
Miaka ya nyuma watu walistaafu na miaka 50 sasa mtu anapiga hesabu nirudi mtaani na miaka 50 ? Nooo ngoja nijibebishe , kwenye...
Je, unamaswali au ungependa tubadilishane mawazo?
Nataka nichukuwe nafasi huu kuwakaribisha watu wote wiki hii, tukutane pamoja.
Watu wa Dar es Salaam, Nitakuwa nafundisha vijana pamoja na dada...
Watu 3 wameuawa kijiji cha Mkapunda B kata ya Sululu katika halmashauri ya mji wa masasi katika mazingira ya kutatanisha na kufanya wakazi wa kijiji hicho na vijiji jirani kuingiwa na hofu kubwa...
Baada ya Payroll ya serikali kugoma na ajira kwenye makampuni binafsi kuzidi kuwa ngumu, vijana wengi waliamua wajiajiri kwenye ajira zisizo rasmi na zisizohitaji mtaji, Obviously betting was the...
Waziri Lukuvi tunaomba ufike halmashauri ya ardhi Ifakara idara ya ardhi uone uozo uliopo pale. Unaomba kupatiwa hadi na unazungushwa pasipo kupewa maelezo ya kutosha. Maombi ya hati yabidi...
Wandugu,
Nauliza kama hawa jamaa wana local channel za bure bila kulipia
Je zinabaki ngapi kifurushi kikiisha?
Moshi kingamuzi chao cha antenna kinakamata vizuri?
Ni hayo tu
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini.
Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
Zaidi ya Hekari elfu tano za zao la Kitunguu katika kata ya Lobosoit wilayani Simanjiro zimeharibika baada ya kuvamiwa na ugonjwa wa mnyauko hali iliyosababisha hasara kubwa kwa wakulima ambao...
Hivi unaposema kila dmo asiponunua folic acid atafukuzwa kazi inamaanisha folic acid inaweza kupunguza vifo vya watoto na wajawazito. Muheshimiwa ebu tafakari kwa upana hivi kinachofanya kazi ni...