Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi ni ndoto na maana yake katika maisha yako. Katika Maisha ya binadamu Mungu utumia ndoto kama sehemu ya kuelezea hali ya binadamu wakati uliopo na wakati ujao. Mungu usema na binadamu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
3 Reactions
21 Replies
601 Views
Anonymous
Habari za Leo wakuu, Mimi ni mkazi wa Kigoma Ujiji. Napenda kutoa malalamiko ya wakazi wa Kata za Majengo na Machinjioni - Kigoma Ujiji. Sisi wakazi wa maeneo tajwa tunaishi maisha ya wasiwasi...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako. Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya...
15 Reactions
21 Replies
573 Views
Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya mafuta duniani, inayochangiwa na mvutano unaoendelea huko Iran, wadau wa sekta ya usafirishaji nchini wanakumbwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Mnamo...
3 Reactions
1 Replies
138 Views
Bei ya betri za magari yanayotumia umeme (EV) kwa mwaka 2026 inakadiriwa kuwa kati ya TSh milioni 14 na TSh milioni 56 ($5,000 – $20,000), ikitegemea ukubwa wa gari na uwezo wa betri. Ingawa...
6 Reactions
38 Replies
963 Views
Kama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake. Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake. Hii ni...
4 Reactions
23 Replies
568 Views
Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 9, 2026 pamoja na mambo mengine Wabunge wateule wawili wataapa kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo...
1 Reactions
2 Replies
186 Views
Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea...
1 Reactions
1 Replies
179 Views
Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake. Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo...
0 Reactions
5 Replies
320 Views
A:UPANDE WA WENYE HAKI Mith 11:20 Tunaitwa kuwa wakamilifu katika utume wetu, tukitenda yatupasayo, katika njia sahihi. Ni katika kuwa wenye haki tu ndipo tutaweza kuurithi uzima wa milele...
7 Reactions
8 Replies
362 Views
Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil...
3 Reactions
6 Replies
173 Views
  • Redirect
Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
1 Reactions
– Replies
– Views
Maeneo ambayo Mungu anaweza Kuzungumza na wewe. Mungu anaweza kuongea na binadamu kupitia ishara mbalimbali na unapoelewa basi unakuwa umesikia sauti ya Mungu. 1. Kupitia ndoto, Hii ni njia...
3 Reactions
2 Replies
428 Views
Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua. Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi. Mf. Hiki kitabu...
12 Reactions
151 Replies
7K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Guys guys Hii nchi kwani haina mwenyewe. Mamlaka hukimbilia kupandisha bei tu pale mafuta yanapopanda bei. Je ni kwa nini huwa hawafanyi review mara baada ya mafuta kushuka bei? Sasa wanajipanga...
4 Reactions
5 Replies
113 Views
Mimi kama mdau mkubwa wa riadha ninaandika kwa huzuni kutokana na malalamiko ya watu kuhusu mbio za Akili Education Marathon. Walioshiriki wamejitokeza hadharani na kutupa lawama za kutosha kwa...
2 Reactions
3 Replies
150 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…