Wadau.
Hivi una taarifa kuwa kwa sasa kuitwa 'nshomile' ni kama tusi? Je unajua mpaka sasa kuna baadhi ya watu wanagwaya kutumia majina yao ya asili mfano Kagera,Kigoma nk?
Kwa nini...
Opereshen kali iliyotangazwa na Mkuu wa Mkoa wa DSM mhe. Makonda imeanza kwa moto mkali ikiongozwa na Kaimu kamanda wa polisi mkoa na baadhi ya vibaka wazoefu wa kuiba taa za magari, powerwindows...
Mtumishi waumaa kazi yake ni kutekeleza yale yaliyomo kwenye mkataba wake wa kazi na mengine ya msingi atakayopewa na mwajiriwake. Je, wajibu wa mwajiri ni nini? nikulinda haki za mtumishi wa umma...
Jamani hawara wangu amejifungua, sasa najifikiria huyo binti yangu nimpe jina gani. Na mimi kutokana na trending za bongo nimeamua kupendekeza majina hapo juu yaani kolomije , makinikia na kiki...
Najiuliza hili Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi Tanzania lipo Kwelii..??
@ ama wameendalikizo??
Je,haya Malalamiko khs nyongeza ya Mishahara kwa Wanachama wenu Mmeyasikia?
Ni mwaka mwaka wa 2...
*WASOMI WA VYUO NA VYUO VIKUU WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI*
--------------------------------------
Na: Nassir Bakari
Upanga, Dar es Salaam.
*Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya vyuo na vyuo vikuu...
Watu watatu walipata ajali ya gari na hawakujitambua kabisa. Raia mwema akatokea sehem ya ajali na akataka kupiga simu kwa msaada. Bahati mbaya hakuwa na simu.
Kwenye ajali kulikuwa na simu 6...
Kosa lenu ni kuchagua upinzani si kingine, ili mtatuliwe hizo kero zenu 2020 mnatakiwa kuchagua viongozi kutoka ccm.
Hivi ni dhambi kubwa sana kuwa mpinzani dhidi ya ccm na Magu??
South
Alitegemea ataongezewa mwezi huu ,amekuta hakuna kitu hata senti haijaongezeka .
Nimejitahidi sana kumsihi asilie , kwa sasa amenyamaza ,lakini kila nikimuangalia usoni sioni tena kama ana furaha...
Ghafra tafrani, watu waliwakwa na mihemko mikali, wakasema tunataka MTU atakaye amua kusema kweli, hata kama uko uchungu kwa anaye usikia
1:Raisi akasema kweli: "Katika serikali yangu sitaweza...
1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.*
2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako...
Naomba kuuliza ivi kuna application ambayo inaweza ikanisaidia mtu mwenye number (Mfano.07579166**) inapatikana wapi ata acpo pokea cm.nimeibiwa na nikimpigia apokei...Cm ake inaita too.
Sent...
Nlkichwa cha habari
Najiuliza umarufu unavyoweza kukupoteza ninayo makundi machache nawe unaweza ongeza Yale unayoyajua na umarufu umeyapoteza
Hard blastas
East coast
Tmk wanaume
Gheto boy
Daz...
Toka juzi maeneo mbalimbali ya Dar es salaam umeme umekuwa ukikatika mara kwa mara jambo ambalo hatukuwahi kuliona kabla kwenye utawala wa awamu ya tano.
Je, ni matatizo ya kiufundi au ndio yale...
Kuna majizi yanaibia watu pesa kialamu kwa kisingizio cha kuwaunga na JKT wao udai wanauwezo wa kuwaunganisha mojakwamoja jkt watakwambia uwatumie pesa kuanzia sh,500,000/ na kuendelea na kuwataka...