Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja kupitia skype jana, yeye anaishi Boston, USA. Sasa katikati ya maongezi yetu, kuna jamaa kadhaa ghafla wakaingia ndani kwake, akaniambia samahani, ngoja...
10 Reactions
214 Replies
26K Views
Habari wakuu!! Kama tunavyojua leo ni kilele cha maonesho ya sikukuu ya wakulima (nane nane) hapa nchini. Ukizungumzia viwanja vya maonesho ya nane nane vinavyo jaza watu wengi kutoka maeneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu wa Sekondari huko wilayani Igunga mkoani Tabora amefikishwa mahakamani kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi wake wa kidato cha nne. Chanzo: Tanzania Daima...
2 Reactions
99 Replies
16K Views
Habari wadau, please naomba mwenye kufahamu na uzoefu wa usafiri mzuri i mean high class wa basi kutoka Dar hadi Kahama. Nategemea kusafiri na watoto.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU watatu wakiwamo watoto wadogo wawili wamekufa huku wawili wakinusurika baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama kwenye mto Ruvu, walipokuwa wakijaribu kuvuka kutoka Vigwaza kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa nimefungua Uzi huu kwa sababu imeniuma sana mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa tatizo *********†**************† Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kipindi cha wiki mbili sasa watumiaji wa halotel wamekuwa wakilalamika kuhusu internet kuwa slow kupita kiasi huku bundle likimalizika kwa kasi ya BRT! Mtakumbuka pia kwamba ni hivi karibuni...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nianze tu kwa kusema sina upande wowote ule ambao naushabikia katika huu Uchaguzi Mkuu ujao wa nchini Kenya ambao unafanyika rasmi Kesho ila kama mchambuzi binafsi wa masuala ya Kisiasa, Elimu...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Salamu wakuu Moja kwa moja niingie kwenye mada binafsi kuna vijitabia vinavokera mbele ya watu mtu atakapojihusisha nazo au kushiriki. (1) Kusikiliza muziki ama ni kwenye simu au device yoyote...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja. Sina tatizo kabisa na...
47 Reactions
179 Replies
17K Views
This God man alikuja ni Mungu akijua ni Mungu lakini kwa sababu kumuelewa Mungu ni ngumu ikabidi awe sisi ...rejea Zakayo...Malaya Magdalene...nk Muda wote alisisitiza tusimiss judge ..think out...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Niiangalia haya matukio na kutafakari mambo mengi, Na kama unayaona haya utawaona pale tunapodanganya au kudanganywa na wanasiasa, Mengi ya haya hutokea duniani, vita,maafa mbalimbali nk lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Idadi ya Wakenya wanaoingia Tanzania kwa kuhofia fujo ikizidi kuongezeka. Mwananchi ilikuwa katika vijiji vilivyo jirani na mpaka wa Horohoro mkoani Tanga na kukuta idadi ya wanaovuka kutoka Kenya...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wanabodi na Mkuu Ruge; Mkuu Ruge sioni sababu ya wewe kupoteza muda wako kukaa eti kuja na maelezo ya kuwa Kwanini ulienda kushuhudia uzinduzi wa kuweka jiwe la msingi ujenz wa bomba la...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mmoja wa wakurugenzi katika kampuni ya uchapishaji ya Jamana Printers (KAZIM) amekimbia nchini baada ya sakata la vitabu vya serikali vilivyochapishwa na kampuni hiyo kuwa chini ya kiwango...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kupatwa kwa mwezi ni tukio ambalo lipo kwasasa lakini halivumi.
0 Reactions
1 Replies
959 Views
  • Poll Poll
Kupatwa kwa Mwezi tarehe 7 Agosti Bofya hapa kwa Makala kwa Kiingereza CLICK HERE - PARTIAL LUNAR ECLIPSE August 07 Jioni ya Jumatatu tarehe 7 Agosti WaTanzania wataweza kushudia tamasha zuri...
9 Reactions
53 Replies
9K Views
Wakuu habari zenu. Ningependa kutoa dukuduku langu juu ya mambo yanayoendelea kwenye mtandao wa kijamii ujulikanao kama Instagram. Kero kubwa inayonisibu ni pale napofungua homepage ya instagram...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Imekaaje hii issue wakichumwa wao wanakua wagwadu na mwanaume anaitwa majina yote mabaya na kuudhi [emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…