HALOTEL chondechonde wekeni tatizo hadharani

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Kwa kipindi cha wiki mbili sasa watumiaji wa halotel wamekuwa wakilalamika kuhusu internet kuwa slow kupita kiasi huku bundle likimalizika kwa kasi ya BRT! Mtakumbuka pia kwamba ni hivi karibuni wameongeza bei ya internet bundles kimya kimya huku ikisemekana ni kwa ajili ya kulipa deni lililotokana na kupigwa faini na TCRA. Cha kushangaza kampuni husika imekuwa kimya kana kwamba haina mtu wa mahusiano ya jamii (Public relations officer) kutoa ufafanuzi/taarifa. Kama mmeridhika na kifo chenu basi naaga kwa kuiambia Halotel "lala mahali pema". Laini yenu nimeiharibu sina hamu nayo isije nitia umasikini.
 
Hawa ndio mlisema wakombozi wenu?
Nawaza tu lakini msijenge chuki.
 
Kwa kipindi cha wiki mbili sasa watumiaji wa halotel wamekuwa wakilalamika kuhusu internet kuwa slow kupita kiasi huku bundle likimalizika kwa kasi ya BRT! Mtakumbuka pia kwamba ni hivi karibuni wameongeza bei ya internet bundles kimya kimya huku ikisemekana ni kwa ajili ya kulipa deni lililotokana na kupigwa faini na TCRA. Cha kushangaza kampuni husika imekuwa kimya kana kwamba haina mtu wa mahusiano ya jamii (Public relations officer) kutoa ufafanuzi/taarifa. Kama mmeridhika na kifo chenu basi naaga kwa kuiambia Halotel "lala mahali pema". Laini yenu nimeiharibu sina hamu nayo isije nitia umasikini.
Nilisha itupa lain yao kwa kuniingiza hasara. Siku hiyo nilikuwa na kazi ya muhimu nikaweka kifurushi cha kutosha lakini matokeo yake yalikuwa mwendo wa kobe. Sina hamu tena na sitaki kusikia habari zao.
 
Umefanya la maana mkuu. Adhabu yao ni kuwahama wabaki wenyewe hakuna namna
 
Kama ni tatizo la muda si wangejitokeza hadharani waseme litakwisha lini? Mficha maradhi kifo humuumbua. Yetu macho. Walikuja kina sasatel kwa mbwembwe sasa wako wapi?
 
Acheni hasira hamna mtandao inaoweza mridhisha kila mtu ..mitandao yetu ya kibongo location nyingine unakuta mtandao fulan upo kasi sana ila cha ajabu ukienda other location majanga sio tigo ,halotel ,airtel ttcl,zantel ,cootel ,wala voda wote tabia moja..kikubwa wajitahidi kufutilia matatizo ya wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu tusipowaeleza kutoridhika kwetu tutahangaika sana kuhama kutoka mtandao mmoja hadi mwingine
 
mimi nilidhani niko pekee angu in short hii mitandao ya simu ya tanzania haipo serious huwa wanaanza vizuri wakiona wameteka soko wanaanza kuingia mitini mara internet, mara wa fyeke salio kimya kimya n.k yaani ni shida hakuna cha voda, tigo, halotel, airtel n.k
 
Jamaa walianza kwa spidi ya ajabu, sasa wameshaanza kukata pumzi.

Halotel Wanapaswa kufaham Kuwa watanzania wengi pamoja na kutumia hizo line za Halotel bado line zao za zamani hawajazitupa, sio rahisi kuziacha haraka hivyo. Hivyo walipaswa ku-maintain speed ile ile kwa muda mrefu ili kuwateka. Ila kwa mtindo huu watu watazitupa hizo line zao faster.

Wamekuja wageni wanataka kujifananisha na akina Voda, tiGO na Airtel wanaungana nao ktk mambo yao, wenzao wana advantage ya kuwahi ktk soko, sio rahisi mtu kubadili namba aliyoanza nayo. Hawakupaswa kufanya amalgamation na hawa watu wangeendelea kivyao tu.

Wakiendelea hivi itakula kwao mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenipiga vocha zangu za elfu moja kama mara mbili hivi wananikera sana
 
Jamaa walianza kwa spidi ya ajabu, sasa wameshaanza kukata pumzi.

Halotel Wanapaswa kufaham Kuwa watanzania wengi pamoja na kutumia hizo line za Halotel bado line zao za zamani hawajazitupa, sio rahisi kuziacha haraka hivyo. Hivyo walipaswa ku-maintain speed ile ile kwa muda mrefu ili kuwateka. Ila kwa mtindo huu watu watazitupa hizo line zao faster.

Wamekuja wageni wanataka kujifananisha na akina Voda, tiGO na Airtel wanaungana nao ktk mambo yao, wenzao wana advantage ya kuwahi ktk soko, sio rahisi mtu kubadili namba aliyoanza nayo. Hawakupaswa kufanya amalgamation na hawa watu wangeendelea kivyao tu.

Wakiendelea hivi itakula kwao mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu apidi inapungua pale traffic inapozidi sasa kwa mitandao yetu traffic ikizidi nao hawaongezi uwezo wa mitambo yao like halotel walikuwa na kasi kwasababu walikuwa na nba ndogo ya wateja wanaotumia internet kwasasa wananamba kubwa wa wateja wanaotumia internet
 
Back
Top Bottom