Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzee wangu huyu wa patol yuko kimya sana jamani Baba liamshe dude Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe, amewasimamisha kazi askari wanyamapori tisa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, kwa tuhuma za rushwa wakipokea fedha kutoka kwa wafugaji,na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bar ya Triple 7 iliyoko Mikocheni kwa kweli wahudumu wamezidi kuibia wateja. Naamini wengi tunakula pale lakini Bei ya chakula mara nyingi wahudumu wanatuibia Sana. Mimi ni mmoja wapo, kila...
4 Reactions
77 Replies
12K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza IGP kwa kuonyesha nia ya dhati ya karudisha weledi ndani ya jeshi letu la polisi , nimemsikia mara kadhaa akikemea ubambikwaji kesi kwa raia na mengine mengi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted. Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted. Mkurugenzi...
10 Reactions
95 Replies
9K Views
Wananchi wamewafukuza wafanyakazi wa TANESCO waliokuwa wakitaka kukata umeme kwenye nyumba zitakazobomolewa eneo la Kimara Stop Over, Dar.
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Na: Pasco Nkololo August 16 1831 katika vitongoji vya Mji mdogo wa Barnes uingereza kipindi hiko ndipo alizaliwa huyu mwanaume baba wa soka la kisasa na mmoja kati ya waasisi wa chama cha soka...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imekana kuwa na taarifa ya ndege iliyonunuliwa na Askofu wa Kanisa Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini Marekani. Juzi, Askofu Gwajima...
11 Reactions
188 Replies
25K Views
Wakuu maisha yanabana! Bila internet maisha hayaendi kabisa. N lazima kupata nyepesi nyepesi za kiuchumi, kisiasa na kijamii ndani na nje ya nchi. Kati ya TIGO, VODACOM, AIRTEL, HALOTEL, TTCL...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kiukweli ishu ya Acacia hainiumi kama ilivyo ya hawa makaburu wa AFGEM. Wametuachia mashimo tu huku madini yote wamechukua! Nina imani na wewe amiri jeshi mkuu naomba wamulike na hawa makaburu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeangalia nembo ya mradi huu na kuiona mikono miwili ikishikana kama alama ya upatanishi, hili ni jambo jema kwani wahenga walisema ' yaliyopita si ndwele tugange yajayo' ahsante!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Unampigia mtu simu unaanza kusikia Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mpoto amekua akipata nafasi ya kutangaza matangazo mengi ya TV... Kinachonishangaza ni Ile sauti yake ya ukali akiwa anatangaza.. Yaani kama uliset sauti ya kawaida kwenye TV, basi linapokuja...
2 Reactions
6 Replies
903 Views
Wanajamii, mimi naishi mjini katika jengo lenye gorofa naneSasa hapa kwenye jengo kuna kisima katika hali ambayo sijaielewa Dawasco wametoa agizo kuwa watakusanya pesa kama kibali na usajili pesa...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni Tarime, Musoma, Roryaa, Serengeti. Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Mkuu wetu tayari wananchi wamemuona ni Rais anayefaa kwa Taifa hili,wengine wametaka awe ofisini kuongoza hata baada ya muda wake madarakani,cha kujiuliza mbona hatuoni waziri au mkuu wa mkoa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Polo kwa wahanga wa bomoa bomoa! Kweli ni majonzi kupoteza makazi yako, na hasa ukiwa na umri mkubwa, ni shida kweli kweli. Ukiangalia mtazamo wa jamii iliyokumbwa na kadhia hii ya bomoa bomoa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Aisee kuna watu wanajua kupika kitimoto aisee,khaa! Jamaa anayepika kitimoto hapa kwenye Maonyesho ya Wakulima Nane nane hapa Njiro Arusha, is a crazy guy! Kilo 2 rost na kaugali nimekata kama...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kutumia muda wao mwingi kuelimisha wajinga, kuwakumbusha, kuwakosoa, kuwapa taarifa na ikibidi, kama...
16 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…