Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,978
- 36,083
Ban niliyopewa imenisaidia kwa kiasi kikubwa kupata A na kuniwezesha kuongoza
Nasema hivi kwa sababu nilitumia muda mwingi kujiandaa kusoma kuliko kuingia humu
Asante sana kwa mod uliyenipa ban
Mtihani mwingine ukikaribia ntakushtua unipe ban nyingine
Nasema hivi kwa sababu nilitumia muda mwingi kujiandaa kusoma kuliko kuingia humu
Asante sana kwa mod uliyenipa ban
Mtihani mwingine ukikaribia ntakushtua unipe ban nyingine