Watu watatu wamekufa katika ajili mbili tofauti wilayani Manyoni ,ikiwemo ya mbunge wa Manyoni mashariki kumgonga mwanafunzi wa darasa la kwanza na kufariki papo hapo ,na ajali nyingine gari aina...
Wananchi zaidi ya 170 wakiwemo wafanyabiashara waliokamatwa na mamlaka ya mapato nchini TRA mkoani Arusha kwa kosa la kuuza na kununua bidhaa bila kutoa risiti wametozwa faini ya zaidi ya milioni...
Imenibidi niulize hili ili mnisaidie , huku kwetu Tandika Mwembeyanga vijana wananyoa mitindo mingine ambayo hata majina yake siyajui , ni unyoaji ambao ni kama wazazi wao wamekubali yaishe tu ...
Hivi ndivyo mmiliki wa Slipway Hotel na kampuni zake nyingine ikiwemo kampuni ya ndege ya Coastal Aviation ndugu Nicola Colangelo alivyoagwa na wafanyakazi wake.
Toka Hotel ya Slipway mpaka...
Katika kile kinachoonekana mwendelezo wa wiki ya vituko, kiki na ukiukwaji wa misingi ya utawala wa sheria, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi bw. Said Mtanda jana 12.08.2017 aliamuru wanajeshi wa JKT kikosi...
Salaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Wakuu naomba kujuzwa
Iv ni mambo gani au vitu gani unashauriwa kumfanyia au kumpa demu ambaye unaenda kukutana naye kwa mra ya kwanza kwa muda ambao...
Tanzania yazidi kujitangaza kimataifa :
Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada...
Habari wadau wa JF!
Kama mnavyofahamu awamu hii ya TANO, Vijana WAMETELEKEZWA. Ajira hakuna, zikiwepo masharti lukuki kama vile wanakataliwa kistaarabu. Hivi karibuni baada ya wizara ya AFYA...
Hello Ladies and Gentlemen, naombeni mzingatieni mnapokuwa mnaendesha gari kuanzia Sehemu inayoitwa Arusha Meat mpaka Tengeru ,Ndugu zanguni hakikisheni mnakuwa na speed limit 40 km / per hour...
Wakuu,kwa wale wenye interest ya mambo ya madini njooni kalenge,sio mbali sana ni njia ya kwanda Kibondo KM kama 25 toka njia panda ya Nyakanazi,mimi nipo hapo tangu juzi,zimefumuka dhahabu...
DARASA HURU.
KUMJALI MTU NA KUMTHAMINI NI MUHIMU KULIKO HATA KUMPA PESA
“Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?” Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake, kuangalia ulitoka kwa Mama yake...
Kuna ndugu yangu ni mfanyakazi wa Serikali kwenye Halmashauri moja hapa Mwanza. Amedumu kazini kwa miaka 10 na sasa anataka aache kazi,na hata mafao yake hataki tena.
Miaka 3 iliyopita...
Nimelinganisha watangazaji wetu na wa Kenya jana wakati wa kusubiri kutangaza matokeo ya Urais Kenya, nimeona tuko nyuma sana, in all aspects za utangazaji.
Watangazaji wetu mjiongeze sana tena...
Siasa za Yanga na Simba zimeendelea kutawala kila kukicha awamu hii ktk uchaguzi Mkuu wa TFF ambapo siku ya jana klabu ya Simba imeweka historia baada ya wanachama wake wengi kupata kura ktk...
Kufuatia adha, kero na usumbufu mkubwa uliopo ktk kituo cha sasa ktk stendi ya mabasi ubungo.
Wiki mmoja iliyopita nilimsikia mhandisi wa Jiji la Dsm akizungumzia juu ya ujenzi wa kituo cha...
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi...