Sasa watafiti wa macho wamekuja na tathmini yao kwamba, kadri siku zinavyosonga mbele katika miongo minne ijayo, idadi itakuwa mara tatu ya ilivyo sasa.
Asasi ya afya iitwayo Lancet Global...
MEYA KINONDONI APELEKA MABILIONI KWA VIJANA
NA MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
KATIKA kusaka njia sahihi za kupambana na changamoto ya uhaba wa ajira nchini, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin...
Precision air wana route ya moja kwa moja mpaka mbugani serengeti mara nne kwa week, YES mara nne kwa week.
WADAU is this not the right route for our national airline, ukizingatia nembo yetu ya...
Serikali imelipongeza shirika la utangazaji la Tanzania(TBC) kwa kuendelea kurusha matangazo mubashara katika ziara mbalimbali za viongozi hapa nchini ikiwemo ziara ya Rais wa Jamhuri Misri hapa...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku madereva pikipiki maarufu bodaboda kuwapakia watoto wenye umri chini ya miaka tisa
Dereva yeyote atakayekiuka agizo hilo atakamatwa...
Ni usiku nacheki mechi hom lakini kwa sababu ya mbu nimechoma koili yangu inaungua taratibu huku ikitoa moshi wa kutosha lakini mbu nao bado wapo wamenizunguka kulia na kushoto na wanaongezeka...
Siku chache baada ya rais kufanya ziara mkoani Tabora alipoagiza uongozi kushirikiana na wananchi kuhakikisha wanapambana na uharifu na watu wanaotumia silaha za moto katika matukio hayo, baadhi...
Ready To come home! Watoto wetu Doreen, Sadia na Wilson sasa wako tayari kurejea nyumbani. Mungu awabariki wote kwa Sala na Dua zenu. Hakika Mungu akitaka kukubariki, hakuna awezaye kuzuia! Amani...
Kumekuwa na mtindo sasa hivi wa kucertify vyeti unapoomba ajira sehemu mbalimbali, juzi niliitwa kwenye interview wakati wanakagua vyeti vyangu wakaona cheti kimoja hakijawa certified na...
Experience ni kile unachopata baada ya kukosa kile unachotaka.
Skills ni kile unachofanya kwa ufanisi bila kuwa na errors nyingi. So popote unapoenda wakakuomba uzoefu means wanataka ujuzi wako...
Huu ni unyanyasaji kwa wafanyabiashsra. Mliwalazimisha wanunue mashine za EFD kwa gharama kubwa. Hata aliyekua na biashara ya mtaji wa milioni 2 alilazimishwa kununua mashine ambayo haikupungua...
Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine GGM kwa kushirikiana na halmashauri ya mji wa Geita umeanza mpango maalum wa kutatua changamoto ya maji inayowakabili wakazi wa eneo hilo kwa muda mrefu kwa...
Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent ya jijini hapa waliopelekwa Marekani kwa matibabu baada ya kuumia katika ajali iliyotokea Mei mwaka huu wanatarajiwa kurejea nchini kesho, lakini...
Tokea JPM akabidhiwe nchi hatujamuona kwenda nchi za nje na kuomba misaada kama ilivyo kawaida ya mwenye shida,lakini hapo hapo wao ndo wanakuja na kutupia hio misaada hapa na isio na masharti,je...
Polisi ukamata silaha za moto zinazotumiwa na majambazi baadhi ya silaha hizo zinakuwa zimefutwa namba na zingine zinakuwa nazo. Ingekuwa vizuri polisi kutoa takwimu kwa zile silaha zinazokamatwa...
kwa halii hii viongozi wetu wa africa watakubali kuachia viti vyao kweli
hii ni payroll ya mbunge wa uganda bwana Simeo Nsubuga
payslip yake inaonesha total income ya sh33,288,000/ kwa mwezi -...
Serikali imetakiwa kutumia matokeo ya tafiti mbalimbali zinazofanywa na wasomi nchini hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linajielekeza katika uchumi wa viwanda.
Rai hiyo kwa Serikali...