Mimi kama kijana msomi mlipa kodi wa kitanzania NADIRIKI KUSEMA WAZI KABISA kuwa sipo tayari kulipa hizo fedha tunazodaiwa.
Viongozi waliosababisha uzembe huu, bila ya kujali vyeo vyao au kinga...
Wakati kiwango cha michango ya harusi inayochangwa na marafiki kikiporomoka kwa kasi nchini, washereheshaji (Ma-MC) wameanza kutumia mashine za kielektroniki za EFD ili kutoa stakabadhi.
Baadhi...
Ama kwa hakika wale tuliowahi kuchepuka siku ya honey moon kwenda kurarua michepuko yetu yaa nje tukutane hapa..tukumbushiane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani walimtuma Waziri afanye kikao cha siri....na Waziri mwingine kushindwa kusema kwamba ndege imekamatwa sababu tunadaiwa....Sina imani na hii serikali aisee.....
Sent using Jamii Forums...
Kuna wizi ambao lazima tuudhibiti, na tusipoudhibiti tutaibiwa mpaka tukome.
Inasemekana huu wizi ni wa aina yake usipoujua uwezi ung'amua. Upo ivi, imegundulika kuwa kuna tabia ya kuwapa watu...
Huyu CEO wa NHC alivuma sana awamu ya nne na miradi yake ya makazi bora kwa watanzania.
Toka tumeingia awamu ya tano kiukweli sijamsikia kabisa ktk ule ubora wake wa kuwahabarisha watanzania...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Agosti, 2017 amekutana na kufanya mazungumzo na Mbunge na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Mhe...
Leo nimefika kwenye duka fulani hapa Mwanza kununua sukari kwa matumizi ya nyumbani nikaambiwa bei ya sukari kwa kilo moja ni shs.3,000. Jamani Serikali inatupeleka wapi?.
Kichwa cha habari...
KWA UFUPI
WHO linasema tumbaku inaua takribani watu milioni 6 kila mwaka na kati ya hao 600,000 sio wavutaji wa tumbaku. Mwaka huu ikiwa na kauli mbiu fungia matangazo yanayotangaza...
Habari wadau!
Vuvugu hili lilianza tangu jana pale wafanyabiashara walipo goma kufanya mazungumzo na serikali ya wilaya ikiwataka wakafanyie ofisi ya mkuu huyo badala ya eneo la tukio.
Kikubwa...
JINA LAKO LIPO HUMU?
Haya ndo baadhi ya majina ya wafanyakazi wenye mishahara ya kima cha chini Waliouziwa viwanja TMK na kuwaacha walala hoi wakilia na kuishia kutozwa Tsh 30,000 /= Bure
1...
Nchi yetu ina mambo kweli usishangae Tundu Lissu kufunika magazeti yetu yote.
Na tunavyopenda kuiponda Serikali yetu basi kesho ndiyo utaona magazeti ya kizalendo na magazeti mchumia tumbo.
Ndugu wanajukwaa!
Kama mtakumbuka mojawapo ya ahadi zilizokuwemo katika Ilani ya CCM ni kuboresha maslahi kwa Watumishi wa umma. (Rejea Kipengere cha 139b cha Ilani ya CCM ya mwaka 2015- 2020)...
Wanaume wengine bhana!
Unamkuta mtu anaenda bar saa mbili usiku,anaunua pepsi au coca halafu anakaa mpaka saa nane usiku! Hii tabia ipo sana Singida. Hawa watu huwa wambea sana na wapenda udaku...
Baada ya kumsikiliza Kaimu msemaji wa serikali Bi Zamaradi Kawawa, nina haya ya kusema kuhusu Ndege yetu, mwenendo wa serikali ktk hili suala na harakati za upinzani wa sasa,
i) Pamoja na...
Hii mada inahusu watu walioajiliwa tu,kwenye sekta binafsi na wale wa Serikali.
Unamkuta mtu Ofisini, rundo la majukumu, mafile yamefaa mezani mpaka haonekani. Kila kitu yeye, hiki yeye, kile...
Habari zenu wapendwa......!
Duniani kuna walimwengu wa aina 3:-
1.Mlimwengu anayemuunga mkono binadamu kwa mambo yote (mazuri au mabaya).
----Kwa mfano kuna mtu amekudhulumu na umefikia maamuzi...
Wakati hali ya amani na utulivu ikiwa imerejea katikati ya Jiji la Mbeya baada ya kutokea vurugu juzi mchana, jeshi la polisi limesema linawashikilia watu 18 akiwamo Katibu wa Wafanyabiashara wa...