Leo nimefika kwenye duka fulani hapa Mwanza kununua sukari kwa matumizi ya nyumbani nikaambiwa bei ya sukari kwa kilo moja ni shs.3,000. Jamani Serikali inatupeleka wapi?.
Kichwa cha habari chajieleza.
kwa sasa mwanza sukari ni adimu sana.. waliokuwa wanatuuzia jumla wote wameishiwa...
inadaiwa wazalishaji wa TPC na KAGERA SUGAR wamefunga kwa mda.. huwa ni kawaida kufunga miezi ya 5 kwa ajili ya mapumziko.. sasa wanaenda mapumziko wakati nchi ikiwa na uhaba wa sukari...
Kilo kwa sasa hapa mwanza tsh 2800-3000