Watanzania huu wizi tumeshtuka.

Watanzania huu wizi tumeshtuka.

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Kuna wizi ambao lazima tuudhibiti, na tusipoudhibiti tutaibiwa mpaka tukome.
Inasemekana huu wizi ni wa aina yake usipoujua uwezi ung'amua. Upo ivi, imegundulika kuwa kuna tabia ya kuwapa watu mikataba ya shughuli mbalimbali za kijamii alafu tunachonga nao dili tunavunja mikataba ili waende mahakamani, kule mahakamani tunajua tutashindwa ili tulipwe kwa kuwa sisi ndio tunaotoa hayo malipo tayari 'deal done"
Ndiyo maana mikataba yote tuliyovunja hakuna tuliyoshinda. Huu ni wizi wizi wizi tunaibiwa kwa staili ya aina yake tushtuke na tumshtukie huyu mvunja mikataba.
 
Ninyi akina nani? Fafanua maana unasema kijumla jumla tu.
 
Unamaanisha Rais wa wanyonge anahusika na huu wizi ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wizi ambao lazima tuudhibiti, na tusipoudhibiti tutaibiwa mpaka tukome.
Inasemekana huu wizi ni wa aina yake usipoujua uwezi ung'amua. Upo ivi, imegundulika kuwa kuna tabia ya kuwapa watu mikataba ya shughuli mbalimbali za kijamii alafu tunachonga nao dili tunavunja mikataba ili waende mahakamani, kule mahakamani tunajua tutashindwa ili tulipwe kwa kuwa sisi ndio tunaotoa hayo malipo tayari 'deal done"
Ndiyo maana mikataba yote tuliyovunja hakuna tuliyoshinda. Huu ni wizi wizi wizi tunaibiwa kwa staili ya aina yake tushtuke na tumshtukie huyu mvunja mikataba.
Huyu mvunja mikataba atavunja vitu vingi sana
 
Back
Top Bottom