Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni...
This is simple mathematics , umezaa mtoto yes that's ur responsibility na responsibility is like uniform hata kama uniform hauipendi ila lazima uivae tu .
Kuzaa au kuzalisha that's option ila...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linawaarifu wananchi na abiria wote kuwa, kumekuwepo na vitambulisho mbalimbali vilivyoachwa katika treni na stesheni za SGR na MGR kutokana na sababu tofauti wakati...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na...
Nina mwanangu anakaribia miaka 6 lakini kuongea ni tabu
Alipokuwa mchanga alianza kuongea vizuri tu lakini cha ajabu akabadilika ghafla anakuwa haongei mfano ukimuuliza kitu hajibu ataenda tu...
1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni.
3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura
4...
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;
Maarifa yanayo zungumziwa sio ya shule ni maarifa ya kiroho.
Changamoto zinazotokea kwenye maisha yako muda mwengine zinatokana na vizazi...
Isaya 42:6-7
Mimi, Bwana, nimekuita katika haki, nami nitakushika mkono, na kukulinda, na kukutoa uwe agano la watu, na nuru ya mataifa;
Mungu kakuchagua ndio maana unapitia hizo changamoto...
Wavuta shisha habari iwafikie
===========
Aprili 1, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amesema kuwa matumizi ya tumbaku yanaendelea kuwa chanzo...
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress...
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa...
Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana...
Wana Jf , nasikitika kuwaarifu msiba wa Ndg Gottee Amefariki leo saa sita mchana Muhimbili-Mloganzila Wing,Ward Na6 Room 6 Magonjwa ya Ndani.
Tarehe 7 March 2020 ali-colapse na kupasuka mshipa...
Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea.
Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi.
Mkeka...
Wanaouchukia Uislam mnajisumbua Farao mwenyewe yalimshinda
Kuna watu humu kazi yao ni moja tu, kuukashifu uislam kwa gharama zozote zile.
Kuanzisha nyuzi za chuki dhidi uislam
Kuwaita majina...
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasiokuwa na gari. Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na Bajaj au Boda boda.
Sasa anakuwa mchafu jasho na nini, mimi huwa sipendi kabisa. Mjitahidi...
Habari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa...
Nimemwambia aendelee kushikilia hivyo kuwa alishikwa bega na jamaa kuja angalia amekuta nyeti yake imepungua sana. Hapo kabla aseme haikuwa hivyo.
Sasa Police wadhibitishe kuwa ilivyo hivyo ndo...
Siku moja nilipo kua nafatilia udaku wa hapa na pale, niliona clip gsm akiingia kwenye gari na mkewe cha kushangaza gsm hakuingia kwenye gari alizunguka kwanza akahakikisha mkewe kaingia kwenye...