Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka wakati Niko chuo darasa letu lilikuwa na watu wenye umri had over 50. Kuna Mzee mmoja nilimheshimu sana nikawa namuita Baba kwa maana ya umri alio nao ni Sawa na baba yangu. Siku moja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kua MODS wamegoma kujibu basi ngoja ikae hivo hii thread...
3 Reactions
165 Replies
27K Views
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa...
10 Reactions
132 Replies
16K Views
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
We!! mtanzania pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko cha magogoni,lowasa kwa sasa eiza angekuwa anahojiwa kwa kosa la kupanda kivuko,ama yuko ndani kwa kosa la kupanda kivuko...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu...
18 Reactions
105 Replies
12K Views
Nimeisikia hii story mara kadhaa ila silioni andiko lake online. Je ni kwanini aliwahasi wanaume wafupi kwa kimo huyu dikteta? Anaeielewa story yake atiririke tafadhali tupate elimu. Sent using...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu wimbo ni mzuri, sharing is caring "God Bless The Child (Extended Remix)" Hallelujah, hallelujah, God bless the child who suffers Hallelujah, hallelujah, God bless the young without mothers...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
magazeti yetu kwa leo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dar es salaam. Ghorofa la Revy Kapinga, mjane aliyetaka kwenda kugalagala kwa Rais John Magufuli, limebomolewa nusu. Jengo hilo ambalo pia lina ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Stop Over...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 filamu za kitanzania hasa maigizo katika vipindi mbalimbali vya televisions vilifana sana. Ingawa mwanzoni mwa 2010-2015 filamu zilianza kushuka kwa kazi kutokana na...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Pamoja na kusubiria kama kuna marekebisho mwezi huu ila bado mambo ni yaleyale. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeubamba leo kwenye ferry tour ya New York. Wanajifanya hauna madini wangeuchangamkia namna hii?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba yeyote mwenye ujuzi wa kuunga chuma cha zinki kilichokatika anijuze unaweza kuunga kwa kutumia nn? Pls nafasi yenu wahunzi kunijuza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii naomba kufahamu mshahara wa walimu huwa unatoka kila tarehe ngapi...asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Selcom kama kazi ya kuhudumia watanzania imewashinda mtafute kazi nyingine. Haiwezekani nifanye muamala tangu jana na pesa isiingie kwenye simu badala yake mnasema funds will be credited within 30...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Naibu katibu mkuu wizara ya uchukuzi, Monica Mwamunyange SERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, ulishawai kujiuliza nchi ambazo wafanyakazi wanalipwa mishahara ya juu? Hebu tuangalie nchi kumi ambazo wafanyakazi wanapata malipo makubwa ya kazi zao wanazofanya #10 Ufaransa Ufaransa ni...
9 Reactions
53 Replies
18K Views
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor...
3 Reactions
89 Replies
18K Views
Naandika kwa uchungu sana baada ya kila dalili kuonyesha kwamba zile trilion 400 za kulipwa na Acacia hazipo tena, ina maana Noah kwa kila mtanzania hazipo tena( fikiria jinsi ambavyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…