Humphrey Polepole, umeilet down Tanzania

Humphrey Polepole, umeilet down Tanzania

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
Naandika kwa uchungu sana baada ya kila dalili kuonyesha kwamba zile trilion 400 za kulipwa na Acacia hazipo tena, ina maana Noah kwa kila mtanzania hazipo tena( fikiria jinsi ambavyo zingewapunguzia machungu wale wanaovunjiwa majumba yao sasa hivi).

Mzee Polepole alituambia jinsi wezi hao wa Acacia ambao kumbe hata hawajasajiliwa yaani wanafanya kazi kiwiziwizi walivyotaka kumuhonga mkuu wetu wa nchi tshs billion 300. Inaonekena hakutoa taarifa kwa ile taasisi shupavu ya TAKUKURU maana sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine jamani.

Ulikuwa ni ushahidi mmoja tu wa kuwashinda hawa wezi wa Canada/UK, kwanini watoe rushwa ya 150 million USD, tena kwa raia namba moja? Hapo tu tungeshinda
imagine jinsi international media ingeshadadia suala hilo. Lakini mzee Polepole yeye kachukulia poapoa tu na kuongea kijuujuu huku ushahdi anao.

KATULET DOWN SANA.
 
Njaa haijawahi muacha mtu salama hasa ikiwa mislocated from tumboni to kichwani
 
Sijawahi ona sirikali ya ajabu namna hii tangia nizaliwe [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom