Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda
Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen
Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana
Shaka Ssali mtangazaji gwiji wa "Voice of America" yuko Dar Es Salaam hivi sasa akijiandaa kwa matangazo maalum ya #StraightTalkAfrica. Matangazo hayo yatakujia moja kwa moja kutoka studio za...
Ndugu wa DAWASCO
Wanachi wa Mbwepande na Bunju B, bado tuna kilio kikuu cha maji safi ya bomba.
Wiki mbili kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa na watendaji wa mkoa wa Dar, nilisikia Mkurugenzi mkuu...
Kufuatia changamoto ya wananchi kushambuliwa na tembo na kuuawa pamoja na mashamba yao kuharibiwa mkoani Ruvuma Shirika la uhifadhi mazingira duniani(WWF) limedhamini mafunzo ya miezi mitatu kwa...
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha...
Katika siku za karibuni shillingi ya Tanzania imezidi kushuka thamani dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi juzi shillingiilikuwa inabadishwa 2230 kwa dollar moja ya Kimarekani kwa kiwango cha...
Dar es Salaam — The Ministry of Energy and Minerals has opened the tendering process for the construction of Rufiji Hydropower project at Stiegler's Gorge.
The project will see the construction...
RUKWA: Mahakama Kuu imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela watu 6 kwa kosa la kula njama kutaka kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.
==========
Mahakama kuu kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa...
Natoa pongezi kwa kituo hiki kwa kutoirusha kabisa habari ya kuzuia bomoabomoa kwenye bonde la Msimbazi na kule Tua ngoma .
Wahusika hawajawahi kuwa na huruma na wananchi bali walilenga kupata...
Kwenye shughuli nyingi tunazoshiriki kunakuwa na mikataba inayozisimamia. Ukiomba zabuni au kuuza mali yako, unafanya hivyo kwa mikataba ya kisheria. Hata unaposajili biashara unaruhusiwa kuingia...
Kwa muda wa wiki moja wateja wa nmb tulio na mastercard(zile za blue),tunahenya yaani kila dakika hakuna mawasiliano.
Zile za njano naona zipo okay,sasa ushaur tu kwa nmb ni kuturidishia kadi za...
Nawasalimu wana jamvi.
Naomba kujua kwa wenye experience, ni hoteli gani mjini Addis Ababa Ethiopia ni nzuri kwa conferences na bei nzuri i mean reasonable.
Naomba munipe majibu ndugu zangu...
Pole sana Bukoba,nasikia na nyinyi mnaitaji kusemewa na Makonda siyo?
----------
Bomoa hiyo iliyoyakumba baadhi ya majumba ya baiashara ikiwemo nyumba za kulala wageni, inasimamiwa na meneja wa...
Mhandisi Mwandamizi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Goyagoya Mbenna amepata ajali ya gari eneo la Nanganga, Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara akiwa safarini kuelekea Songea, mkoani Ruvuma siku...
Asalam alaykum.
Wiki chache zilizopita wadau nilifanikiwa kutembelea mji wa Tel Aviv katika nchi iliyobarikiwa na watu wake kulaaniwa ya Israel.
Nikiwa huko katika moja ya hotel za nyota nne ya...