Wakati gharama ya kodi, umeme na maji kuwa bado changamoto leo watu serikali ya mitaa wamepita wanasema kesho ni deadline kunagharama ya ulinzi shirikishi sasa polisi wanafanyakazi gani? Kodi...
Wanasayansi wamebuni kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu.
Kifaa hicho kimeundwa kuwasaidia madaktari kusaka vifaa vya madaktari, vinavyofahamika kama...
Kimsingi Mke wa Rais (first lady) ni kama Rais tu ingawa amekosa 'legitimacy' ya urais lakini ndiye mtu wa karibu zaidi wa Rais na akiitumia vizuri nafasi hiyo basi anakuwa na ushawishi mkubwa...
African dance has transformed over the years with African music. The traditional African dance is gradually making way for more modern dance moves. Dance in general is the art of expression with...
Habari wanajamii,
Nimekuwa mteja wa decoder ya azam tv nilivutiwa sana na huduma zao katika king'amuzi chao hapo mwanzo lakina naona kila kukicha wanazidi kutukomoa wateja wake hapo mwanzo...
Habari zenu familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Ikumbukwe takriban mwezi au miezi miwili kulikuwa na sakata la vichwa vya treni bandari kuu ya Taifa Dar es salaam. Vichwa hivi...
Wakuu,
Mnamo mwaka 2016 mwanzoni ndugu yangu alinililia shida alipohamia kwenye nyumba yake, kutoka nyumba ya kupanga, alitaka amalize choo na mambo mengine akaniomba nimpatie 2.5mil kwa ahadi...
Kwanza mamlaka ya hali ya hewa imeelezea tabiri zilizopita na kiwango chake cha usahihi ambacho kilifikia asilimia 87.5 kikiwa kimeongezeka kulingana na mwaka wa nyuma yake. TMA imesema mvua za...
Wananchi wa kijiji cha Mwaya wilayani Ulanga wamemgomea Mbunge wa jimbo la Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Godluck Mlinga kuondoka na gari la kubebea wagonjwa kwa ajili ya kwenda kulikabizi...
Awali nilikuja na uzi kwa title sawa na hapo juu.
WanaJF nipende kuwashukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kusaidia kwa namna moja au nyingine kufanikisha hitaji langu hasa wale waliokuja inbox...
Taarifa za chini ya kapeti ni kuwa suala la bomoabomoa ya nyumba 17,000 iliyotangazwa kufanyika Dar kusitishwa kutokana na rais kutokuwa na taarifa nayo ukweli wake haswa ilikuwa ni wabunge wa...
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, imezindua rasmi awamu ya kwanza ya fidia kwa wakazi 179 waliopitiwa na Mradi wa Uboreshaji wa Miundombini katika Jiji la Dar es Salaam (DMP), baada ya...
ACACIA WAMEKUJA KWA UBAYA
Ni raia wa uingereza aliyezaliwa nchini Afrika Kusini, alikua na kupata elimu yake nchini Uingereza, kwasasa ana umri wa miaka 51.
Alianza kwa kupata elimu ya uchumi na...
Edo Kumwembe ni mchambuzi wa masuala ya soka hapa nchini. Ni maarufu kwa hilo. Miaka ya karibuni alibahatika [kupitia uzoefu wake wa uchambuzi] kupata kazi ya uchambuzi wa soka kituo cha Super...
WANANCHI waliojenga kwenye vyanzo vya maji wametakiwa kubomoa nyumba zao kwa muda wa siku saba ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa wilaya hiyo.
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini...
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itazindua Huduma ya Matibabu ya bure kwa wazee wapatao 7,299. Watapatiwa vitambulisho vyao katika awamu ya kwanza siku ya Jumatatu terehe 04 Septemba 2017...
DAR: Serikali yatoa siku 3 kwa wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Ubungo wawe wameondoka eneo hilo ili kupisha ujenzi wa barabara za juu.
Mradi huo wa barabara za juu(flyover) unatarajiwa...
My dear Tanzanian Politicians, of whom I'm sure u will not get this, but I'm writing anyway...Tena wacha nitumie ile lugha mama ya Taifa so that I can put the message out there as politely as...
Ajari mbaya imetokea Tabora. Abilia kampunI ya adventure kutoka Mwanza kwenda Mpanda, imeanguka mbele ya kijiji cha Ipole Wilayani Sikonge mkoani Tabora na kwa taarifa ni amefariki mtoto mmoja na...