Kabla haujaanza wiki yako Fanya kitu kinaitwa "Week Mapping":Hii inajumlisha kufanya mambo yafuatayo:
1) Kuamua ni mambo gani makubwa ambayo unakusudia Kuyatimiza kwa wiki hii na...
katika vitabu vya dini imewekwa bayana ni wajibu wa wanachi wote kuheshimu mamlaka zilizowekwa kwani viongozi hao chombo cha Mungu kwetu wanadamu,
ROMANS13: Kila mtu hana budi kutii serikali...
Miaka kama kumi iliyopita sio wote walikuwa na simu za mikononi, hivyo wanaume wenye simu walihakikisha simu zao zipo sehemu za wazi( kiunoni au mkononi) kwani ilisemakana(hasa uswahilini) ni...
Serikali ya Mkoa wa Tabora imetoa mwezi mmoja kwa wamiliki wa Kiwanda cha Pamba cha Manonga kuhakikisha wamekikarabati ili kiweze kuanza tena uzalishaji wa mafuta ya pamba na uchambuzi wa Pamba...
Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana.
Kutoka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, Nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa.,
Je hili ni tatzo...
Ukweli lazima usemwe,
Uhai wa mwanadamu hauna madaraja. Hakuna umashuhuri wala u-VIP linapokuja swala la uhai kwa kila mtu. Nilazima sasa kila mtu ajue kuwa kila roho ya mtu inathamani iliyo...
Wana jf Leo nimewaza kitu why kila kona kuna mabango ya mawakala wa Freemasons na namba zao za simu `„je nikweli kuna watu wamefanikiwa kupitia haya mabango kujiunga na Freemason??
Na je kama sio...
Binadamu huishi katika mazingira, mazingira haya huhusisha vitu na watu. Katika kuishi, mazingira haya yana athiri maisha ya binadamu. Athari hizi zinaweza kuwa chanya au hasi. Watu unao ishi nao...
Habari...
Nimeona viongozi wengi mashuhuri duniani na ndani ya nchi yetu ni wapenzu wakubwa wa twitter..
Swali langu..
1.kuna uhusiano gani kati ya twitter na viongozi wakubwa na macelebreties...
Kiukweli amenichanganya sana baada ya kusema kwamba 99.9% ya Watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito mdogo na wenye kupata / kuugua Ugonjwa wa ' Utapiamlo ' huwa na uwezo mdogo sana wa Kufikiri /...
Jeshi la polisi mkoa Kusini Pemba linamshikilia mwanamke moja kwa tuhuma za kukamatwa akiwa na furushi linalotiliwa mashaka kuwa ni madawa ya kulevya lenye kete 3621 unao kisiwa kuwana thamani...
Wakati tasnia ya habari ikiwa na jukumu la kuhabarisha wananchi juu ya mambo mbalimbali ya Kitaifa, kijamii nk, taasisi mbalimbali zikiwemo za wanahabari zimekuwa na makusudi mbalimbali ili...
Poleni sana na mihangaiko ya kusaka ajira, yangu ni machache tu ni kusisitiza Kwa wahusika wawe wawazi hasa linapokuja swala na usahili na uajiri.
Hii nikimaanisha kwamba kazi nyingi hutangazwa...
Where do you see yourself on the next few years? What have you done to be there? Opportunities are everywhere but have you ever find a chance to take one one? Have you ever listen to yourself...
HII NIMELETEWA NA MIMI NIMEITUMA KAMA ILIVYO
'RAFIKI YANGU MMOJA AFISA UBALOZI FULANI HIVI, ANAYEFANYA KAZI HAPA KWENYE UBALOZI WA NCHI YAO, AMENITUMIA CHAT HII. MBALI NA LUGHA YA KEJELI...
Kwa Imani mlinzi mkuu ni Mungu mwenyewe ktk hii Dunia.
Ulinzi mwingine ni misaada tu kwa pale Mungu alikoweka ulinzi wake.
Kwa risasi 32 then unapata majeraha tena bila kugusa viungo...
Many of us we please people and we feel sorry for them, we are afraid of saying no, and we expect either could end up the relationship or loose a job.
But no is a word like other words, you have...
STATEMENT OF THE MALAWI LAW SOCIETY ON THE ATTEMPTED ASSASSINATION OF HONORABLE TUNDU LISSU, THE PRESIDENT OF THE TANGANYIKA LAW SOCIETY
1. The Malawi Law Society (MLS) has learnt with great...
Madalali matapeli wa kupatana hawatanisahau.
Walitangaza nyumba kupitia kupatana, nikawatafta kesho yake wakanipeleka kwenye nyumba, wakaifungua nikaikagua kisha wakatengeneza mwenye nyumba feki...