RAIA watano wenye asili ya China wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma baada ya kupatikana na nyara za serikali kinyume cha sheria.
Watuhumiwa hao walipatikana wakiwa na magamba 652 ya...
Awali ya yote amani iwe kwenu wana jamvi.
Katika siku za hivi karibuni, nimekuwa nikizungukia maeneo mengi, lakini kitu kinachokuwa kinanipa shida ni kuwa, kokote ninakopita, nyuso za watanzania...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Husika na kichwa cha habali hapo juu.
Katika kitu kilichonishangaza na kunihuzunisha ni hii leo kusikia kutoka kwa Spika akisema wao wabunge wana bima za...
nilikuwa natamani kufanya biashara kupitia page ya Facebook ila naona gharama za kupromote imekuwa kubwa sasa miaka miwili iliyopita nilikuwa naona gharama Lima cha chini $2 ila sasa in $7
kitu...
Naibu waziri ofisi ya rais tamisemi mhe selemani jafo amesema serikali imetenga shilingi bilioni 86 kwa ajili ya ukarabati wa vituo vya afya 172 nchini huku maeneo ya kipaumbele yakiwa ni jengo la...
Jamani leo nimesikiliza redio moja asubuhi wakilalamikia ukimya wa viongozi wa dini juu ya mambo yanayoendelea nchini kwa sasa. Eti sababu ya wao kutokusema ukweli ni kuogopa kuitwa kwa mahojiano...
Tukiacha bendera ya taifa ambayo ina heshima yake binafsi bendera hizi ndizo bendera tatu maarufu zaidi muda wote.
1:Bendera ya Taifa la Israeli
Hii ni maarufu sana. Watu wengi hasa wa imani za...
Habari ndugu,
Kuna tetesi nlizisikia sehemu kuwa eti kuna kampuni ya israel inataka iombe tenda ya kulinda Pipe Ya Mafuta Itokayo UGANDA.
Naomba mnisaidie kama ni kweli au la...
Na kama ni kweli...
Wadau nimepata tetesi katika nchi fulani hapa Afrika vijana wa kisasa wanapendelea kukutana kwenye Coffee Bar kwa mazungumzo na kubadilishana mawazo. Inasemekana kuwa hata dating pia kwa sasa...
Leo TATO wamefanya mkutano wao wa Mwaka
Wameamua kutoa piki piki zaidi ya 20 kwa ajili ya Doria Polisi na Kujenga kituo cha Kisasa Tourism and Diplomatic Polisi
Tourism is number one earn of...
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandaimba mkoani Mtwara Alois Masau imesema talaka holela katika wilaya hiyo ni chanzo kikubwa cha watoto kukosa malezi bora na hivyo kupelekea watoto...
Wakati wale maadui watatu waliotangazwa na Mwl Nyerere hatujamalizana nao. Wamejitokeza kwenye uongozi huu maadui wawili wa nyongeza na hatari sana katika Taifa hili....
NAWATAJA:
1. MAAGIZO...
Wilma Rudolph Biography.com
Athlete, Track and Field Athlete(1940–1994)
5.8K
SHARES
Track and Field Athlete
Birth Date
June 23, 1940
Death Date
November 12, 1994
Education
Tennessee State...
Madaktari 25, kati ya 258 waliokidhi viwango vya kuajiriwa nchini baada ya kushindwa kupelekwa Kenya, wamekataa ajira hiyo wakidaiwa kutaka mshahara mnono na malengo yao ni kuajiriwa nje ya nchi...
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM na wakili wa kujitegemea Jonas Nkya afunguliwa RB TAN/RB5114/2017 kwa kosa la Wizi wa kuaminika wa gari aina ya Lexus Harrier lenye namba ya usajili T404 BBP...
Mikataba, Makubaliano, Leseni, n.k. za madini za miaka ya nyuma (1998-2010, hata kabla ya Mwaka 1998) inalindwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na hasa Kipengele hicho cha 116. Almasi...