Mbunge wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amepelekwa katika Zahanati ya Bunge baada ya kujihisi vibaya.
Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Jumatano kuwa, Kubenea amefika mbele...
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza inzi.
Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema"Ni kweli, hili ni...
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Muleba imeteketeza kwa moto zana haramu za uvuvi zenye thamani zaidi ya shilingi milioni 32.3 zilizokamatwa katika maeneo ya kata ya Nyakabango na Kimwani...
Habari wakuu
Leo napenda kuwatangazia wakazi Dodoma mjini na vitongoji vyake kuwa nina asali safi kabisa toka mkoa wa tabora, kwa yeyote anaehitaji awasiliane nami kwa no 0762009415
Bei kwa lita...
Mpaka muda huu, website ya TAMISEMI bado inamtambulisha Mh: George Simbachawene kama waziri wa TAMISEMI. Natoa wito kwa maafisa habari wa taasisi mbalimbali kuwa makini na taarifa zilizopo kwenye...
Imeelezwa kuwa mtu akikamatwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi kuanzia kilo 70 na kuendelea adabu yake inafanana na ya mtu aliyeua ambayo ni kifungo Cha Maisha.
Hayo yameelezwa na afisa wa...
Ndg habari za jioni!
Tangu Tanzania ilipoingia kwenye ubinafishaji mpaka sasa manufaa yamekuwa madogo sana. Si kweli kwamba hatukunufaika hata kidogo bali manufaa yetu yamekuwa madogo sana kiasi...
Kwema wadau?. Nimepita maeneo fulani ambapo kuna kijiwe cha pikipiki, nimeukuta ubishani mkubwa wa madereva wa pikipiki. Ubishani huo unamhusu mnyama Tembo, kuna wanaosema Tembo mkubwa akisimama...
KABLA ya kilimo na biashara ya bangi kuhalalishwa katika Jimbo la Oregon nchini Marekani misitu iliyostawi jimboni humo ilifanywa kuwa sehemu muafaka kwa kilimo cha bangi, na hatimaye kuzalisha...
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka...
Waziri Mkuu mstaafu wa Israel Ehud Barak na familia yake walikuja nchini kutalii na moja ya maeneo waliyofika ni Oldupai Gorge, sehemu inapopatikana historia muhimu ya binadamu.
Eneo hilo...
Watu wawili wamefariki papo hapo mara baada ya lori lililokua limepakia makaa ya mawe mali ya kampuni ya Full Cargo Support kupinduka katika eneo la Utwango wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma...
sisi binadamu tunaoishi uswahilini ni mateso bila chuki. mchana nzi, usiku mbu. yaani hakuna uafadhali.kila siku ni afadhali na jana. hakuna jema si mvua, si jua. usiku balaa kubwa. ndani joto...
Kila siku watanzania wanazidi kua wabunifu, kutokana na tatizo la foleni na umbali wa safari kutoka Kariakoo hadi Tegeta nyuki, huyu mjasiliamali kaamua kuweka WiFi kwenye daladala zake na...
Jana katika vyombo vya habari nilimuona Mhe. Waziri wa Uchukuzi akihitaji maelezo kwa nini wafanyabiashara tunatumia viwanja vya ndege vya nchi jirani kusafirishia bidhaa. Nilisikitika sana kukosa...