Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni vipi wanakata service charge kwa muamala ambao haujakamilika... Mfano mtu unatuma ela then kukawa na matatixo ya mtandao ambayo ww kama mtumia huduma you have nothing to do with it.. Cha...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Wakuu Hili suala likoje tunasema sisi matajiri lakini Kenya wasio na rasilimali kama zetu wanatushinda thamani mbaali mno hivi serikali mnafanya nini sasa kwa mkapa dola moja ilikua 1000 sasa ni...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Wanaokwenda jela siyo wote wenye hatia ,unaeza kuwa innocent ila ukabambikiwa kesi Kwa walio na uzoefu mtujuze jinsi ya kuishi kwa amani bila kero na naskia kuna watemi ukizubaa unarudi bila...
9 Reactions
148 Replies
19K Views
Wakuu naomba msaada wenu kwa wale walio familiar na hii kitu. Leo nimetumiwa link flani nikaingia nikakuta ni issue ya matangazo yani the way unavyoview matangazo yao wanakulipa sasa naomba...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Mimi mteja wa kampuni ya simu ya Zantel nasikitishwa sana na hii mbinu ambayo hii kampuni ya mawasiliano wanayoitumia kuibia wateja. Ukituma hela kwa ezypesa wao hukata salio lako halafu hukwambia...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Wakuu nipo Arusha Shehe amri abeid nilikuwa nafatilia hatua kwa hatua zoezi la uvishaji vyeo maofisha wa jeshi lilifanya na mheshimiwa Rais, Mkuu amemaliza event lakini wakati wa kutoka niliona...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika bajeti ya mwaka huu fungu (vote) lililotengewa fedha nyingi kuliko yote ni malipo/marejesho ya deni la Taifa.. Takriban shilingi trilioni 9..... zaidi hata ya mishahara na marupurupu ya...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Naomba kuwashauri Tanroad na manispaa wanaosimamia barabara kote nchini, Wale vijana ambao wanaonekana kujitolea kujaza vifusi katika maeneo korofi barabarani huku wakiomba Pesa Kwa wapita njia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Pokeeni ujumbe huu kutoka kwangu mimi mtafiti asiye na elimu hata la kwanza sijafika lakini ni mzururaji ndani na nje ya nchi hii nikitukanwa sana humu JF na wasiopenda maendeleo ya taifa letu...
12 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo katika barabara ya msoma road kumekuwapo na bonge la folen kutoka mjini had igoma mtu Ulikuwa anatumia Masaa 2 kwasababu na maonyesho ya nanenane nyamongolo igoma. Tunashauri serikali iangalie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimefuatilia mazungumzo ya RC Dar kuhusu kuwataka wauza magari kuhamia Kigamboni eneo la Kibada kwa maelezo kuwa wanapatiwa viwanja bure. Hiyo itakuwa ni hatua nzuri ukizingatia ameahidi mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Our politicians are like diseases: 1. Museveni is like Aids: He will never leave you until you die. 2. Besigye is like Syphilis, Comes with a lot of pain as if more dangerous than Aids kumbe its...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence Milanzi amesema kuwa matukio ya ujangili katika Pori la Akiba la Selous yanatishia pori hilo kuendelea kuwa urithi wa dunia...
1 Reactions
4 Replies
979 Views
Dar es Salaam. Serikali imeaiambia bodi mpya ya wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuacha kuremba, badala yake wajikite kwenye ubunifu huku wakijielekeza kwenye ushindani dhidi ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu naangalia Star Tv jicho la habari asubuhi hii ki ukweli hawa jamaa wako vizuri Aloyce Nyanda... Yuko na mgeni wake hapa huyu jamaa yuko vizuri katika hoja.. 1: Kwanini gharama za Lissu...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Asalaam Aleykum! Wajuzi wa ndoto naombeni mnitafasirie ndoto hizi mbili. (a) Kuota nimekabidhiwa gari ndogo niendeshe wakati sijui kuendesha na nilipikabidhiwa nilikua najua sehemu ya...
0 Reactions
22 Replies
28K Views
Kule kwa wabena kuna aina fulani ya ' utaalamu' unaitwa tego. Endapo kuna watu wasiojulikana wamemdhuru mtu, basi wanandugu hutoa notisi mtu huyo ajitokeze na kuomba radhi. Na iwapo mtu huyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Operation inayoendelea Kagera kuwaondoa wananchi waliovamia maeneo ya mapori ya akiba na misitu ya hifadhi kwa shughuli za kilimo na ufugaji imewagusa pia wananchi wa Misenyi. Takribani nyumba 100...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mbunge wa kigoma mjini Mh.ZUBERI KABWE aliitwa kwenye mahojiano na kamati ya maadili ya bunge kutokana na kauli yake wanaodai ni ya kichochezi "bunge sikuhizi ni idara ya tawi la utawala".ZITTO...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiona watu wanakosa imani na vyombo vyao vya ulinzi na usalama, na kulazimisha watu wa nje waokoe jahazi, ujue kuna tatizo sehemu fulani.
0 Reactions
3 Replies
807 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…