{ ✍️ Simple rule BIG protection }
Mimi mwenyewe ni miongoni mwa watu wanao zikataa dini.
Ila ninacho taka kuwa kumbusha wapinga dini wenzangu ni kwamba.
Tuzikatae DINI zote na...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wameeleza kuwa wanakuchukua hatua madhubuti za kuimarisha usalama wa miundombinu ya barabara kwa kupaka rangi mpya kwenye alama mbalimbali za barabarani...
Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya...
Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya...
Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya...
Wanazuoni na wenye elimu karibuni tujadili. Kwa mujibu wa Wasabato Vatican ndiyo Mnyama mkubwa wa Ufunuo 13 ambaye ataungana na Mnyama mwingine wa 2 Marekani kuwatesa watu wa Mungu ambao ni...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya...
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya...
Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante
Naanza kwa upole kabisa kuuliza ama kujiuliza swali sisi tunao amini uwepo wa Mungu.
Sote tuna amini kabisa kuwa Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu,uweza na mamlaka na zaidi ya yote yeye hakuna...
Wasalaam!
Moja ya karama za kipekee kutoka Kwa Mungu ni pamoja na Uandishi wa Vitabu( hapa ni Simulizi/ nathari).
Huwezi kusomea uandishi wa simulizi.
Uandishi wa Hadithi unahitaji akili za...
DODOMA — Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu.
Tangazo hilo lililotolewa...
Habari zenu wananchi wenzanguu
Niweke wazi mimi ni aina gani ya mtuu.
Mimi sipendi kuona mtu yoyote anaonewaa.
Sasa leo niko na Yericko Nyerere
Umesahau nini CHADEMA mbona ni kama unatumia...
Uchaguzi wa October ni feki!
Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini.
Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na...
Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson imekabidhi vifaa kwaajili ujenzi wa nyumba ya Philipo...
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako...
Togo imesema itashawishi nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuridhia kutumika kwa ramani ya dunia inayoonesha ukubwa halisi wa Afrika, na kuachana na ya sasa iliyoandaliwa Karne ya 16.
Wakosoaji...