Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ukiisoma tu unanyong'onyea...aliyebuni hi text salute alijuaga tukiona sms ya mtandao tunafuta ila hii ukiiona juu ya screen lazma ufungue. Tgo msitufanyie hivyo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye kupitapita huko njiani...huku jua la uMagufuli likiwaka mifukoni. Huku madeni unayodaiwa yamebaki kidogo kukuchanganya kichwa! Mara paap umeiokota pochi iliyojaa manoti ya misimbazi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni(tu)kiwa waumini wenu( wakristo) either catholic, Lutheran, or otherelse tunaamini katika uumbaji na uwepo wa Mungu, mmiliki wa dunia na vyote vilivyomo. Tu(niliishi) katika imani ya utawala wa...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
1. Kuhamia Dodoma kwa serikali kuu wakati vitu vyote viko tayari Dar es Salaam. Kulikuwa na haraka gani kuhamia Dodoma wakati uwezo wa kuhamia huna na kuwaumiza watu wengine kisha unataka kuhamia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Marehemu alizurura kisha akafa. Taarifa ya marehem haitaeleza kuwa enzi za ujana alikuwa na mademu wengi, alinyoa kila aina ya mtindo, alivaa kulingana na matukio, wala alihuzuria kila kumbi ya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN), imepania kuwa daraja la kukivusha Kiswahili kuelekea kuwa lugha rasmi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). HabariLEO –Toleo la Afrika...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Jamani weusi wenzangu sisi ndo tunasaaali lakini sisi sasa 1. UKIMWI na sisi 2. Kansa na sisi 3. Umalaya na sisi 4. Rushwa na sisi Kila kitu kibaya na sisi nini shida? 5. Tamaa na sisi 6. Uongo...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Never trust a politician in your life na ikibidi pigania haki yako hadi kifo. Lile mtu aliyetuahidi watumishi mei mosi jana katugeuka . lile mtu huwezi Amini anachowafanyia watumishi kwa kuwapa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na date zinazoonekana kwenye Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa. "Video imeandikwa mwaka...
12 Reactions
79 Replies
8K Views
Mtwara. Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wameunda timu ya wataalamu kuchunguza miili iliyookotwa na sampuli kutoka miili hiyo zimechukuliwa. Amesema iwapo kuna watu ambao ndugu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana katka shughuli zangu za Benki niliingia Benki ya Barclays na leo nimeingia Benki ya AcessBank na kukutana na nyuso za furaha ya KARIBU na kunieleza kuwa wiki hii ni wiki ya wateja. Baadaye...
2 Reactions
2 Replies
772 Views
Nimeshangaa sana usiku huu nipo njiani nasafiri kuelekea Kenya kukutana na road diversion hapa mizani ya Lamadi-Bunda ambayo ipo sehemu inayoanza mbuga ya Serengeti. Nkajiuliza mwaka 2013 napita...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu hasa maeneo ya mijini, Ripoti za watoto kupotea nazo zimeongezeka. Sifahamu kama kuna Uzi kama huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kusema ukweli elimu bure inaharibu elimu zaidi ya kuboresha, wanafunzi wanazidi kuongezeka kila mwaka huku miundo mbinu hasa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wanajukwaa! Leo natiririka hapa kuwazungumzia hawa wanataaluma wanaojita prizentaz,hasa wa redio tena Redio moja hapa mjini cjui inatangazia mawinguni eti,hasa hawa wa kipindi cha...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Muwekezaji katika mradi wa Avic Town anayehodhi eneo katika wilaya ya Kigamboni kata ya Somangila ametakiwa kuwapatia wananchi eneo lingine ndani ya siku mbili ili kumaliza mgogoro uliodumu kwa...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Na Stella Kalinga, Simiyu Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Eng. Ramo Makani amesema Wafugaji Nyuki wanayo fursa kubwa ya kujikita katika uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu enyi ndugu watanzania wenzangu. Makundi ya Whatsapp yanaponza sana watu maana kuna watu wasio waaminifu kabisa. Epuka kauli au kuforward ujumbe wenye ukakasi kuhusu kiongozi yeyoye wa...
17 Reactions
40 Replies
5K Views
Habarini waungwana wa JF! Nahakika humu nitapata mwanga mkubwa wapi naanzia kumpata shemeji yangu !EDWIN AUGUSTINO MKUPASI kifupi huyu kaka alimuoa dada yetu mwaka 2003!wakaja kuishi dar...
19 Reactions
296 Replies
23K Views
Ili kuepukana na kuweka nyuzi mbali mbali za kutaka watu wakutakie heri ya kuzaliwa, sasa huu ndo utakua uzi maalum kwa atakae penda kutakiwa heri ya kuzaliwa ataweka tarehe yake ya kuzaliwa siku...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…