Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtoto mwenye umri wa miezi kumi Arman Hassan Mohamedi, ameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Fuoni lililopo mkoa wa Mjini Magharibi Unguja visiwani Zanzibar, na kisha kumtumia ujumbe mama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijawahi kusikia hata siku moja kama ikitokea ajali mbaya ya gari ukiacha ajali ambazo zina publicity kubwa kama vile ile ya watoto wa Shule Arusha, Upinzani wakitoa tamko rasmi kutoa pole, ajali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Askari aliyemfyatulia risasi Sheikh Ponda kule Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi. Source: Channel ten taarifa ya habari
1 Reactions
117 Replies
13K Views
Jamani niko posta hapa zinapita ndege za jeshi zina milio ya kutisha niambieni jamani kuna nini ili kama kimenuka niende zimbabwe mapema
11 Reactions
83 Replies
9K Views
Katika vipindi vya asubuhi ninavyovieelewa kwa zama hizi ni morning kiss, lakini ninaudhika sana kipindi kinavyomalizika ghafla tu na kuingiza uzungu, kama kuna kiongozi humu wa Sahara, hebu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Matukio ya uhalifu yanayoendelea nchini yamewaibua viongozi wa dini ambao licha ya kuelezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka, wameitaka Serikali ibuni mikakati ambayo itamhakikishia kila raia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wote. Kama nilivyo uliza hapo juu, yani mimi raia mzalendo nikimuona police anakiuka sheria yoyote ile naweza kumkamata na kumfikisha kituo chapolice cha karibu?. Mfano, late say...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
IGP simon siro awasili manispaa ya songea kwa ziara ya kikaz leo asubuhi kwa usafiri wa helicopter,,karibu songea pia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Makonda ni shujaa sana" "Makonda ni mstahimilivu sana" "Pamoja na yote anayopitia, Makonda bado yupo imara kabisa" Hayo ni maneno tunayodanganyana kila siku. Naomba niyaweke sawa Siku zote...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Nawasaalim wakuu wa kijiwe! Bila kupoteza mda ningependa kwa yeyote aliyopo mji huu anijuze yafuatayo! 1 chumba cha kuishi kwa mwezi garama bei gani. 2 maisha yapoje huku maana sijawahi kuishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi kwa mtu anaenunua bidhaa kama nyanya,vitunguu,karoti n.k. kwenye supermarket huwa anapata changamoto gani???? maana kuna siku nilinunua unga wa muhogo supermarket na ulikuwa na mchanga balaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua kila mtu anatambua umuhimu wa maisha, nitazungumza kwa ufupi sana ili nifikishe ujumbe wa kweli. Tanzania ni nchi yenye kedomokrasi iliyo anza mwaka 1992 na chaguzi za fanya vingi mwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Takribani mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Kuangamiza taifa lolote hakuhitaji matumizi ya mabomu ya nyuklia au makombora ya masafa marefu. Inahitaji tu kushusha ubora wa elimu na kuruhusu wanafunzi wafanye udanganyifu kwenye mitihani"...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekucha wakuu wa Jf. Kama mnavyojua tena serikali yetu imedhamiria kupambana na 'ujenzi holela' ili kuleta taswira nzuri katika ujenzi na kuboresha huduma. Pia, serikali kupitia TANROADS ina...
0 Reactions
7 Replies
992 Views
“Sikubahatika kusoma hata darasa moja kutokana na matatizo ya kifamilia, huu ni utundu wangu ambao nimekuwa nao tangu nikiwa mdogo. Nilianza kutengeneza magari ya kuchezea kwa kutumia mabati...
9 Reactions
101 Replies
20K Views
Dar es Salaam. Mkazi wa Chato mkoani Geita, Obadia Kiko (41), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Benki ya Stanbic dada wa standard chartered imejitosa kuokoa sintofahamu ya wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo hiyo ya masomo elimu ya juu. Hatua hiyo inakuja ili kufufua matumaini ya...
5 Reactions
28 Replies
8K Views
Msemo huu wa kuwashwawashwa nimeupenda sana japo kwa wengine umeonekana kuwakera sana. Ninaomba pia niutumie kwetu sisi tuliokumbwa na sakata la kuondolewa kazini kwa kukutwa na Vyeti feki...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limekamatwa watu 11 wakihusishwa na mauaji ya wakulima 3 wa kijiji cha Mlagano wilaya ya Morogoro Vijijini Iliripotiwa wakulima hao waliuawa baada kuripoti juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…