Je uko tayari kuwa na mtoto mwenye tabia kama zako?

Jackline Aloyce

Senior Member
Aug 31, 2016
111
96
Hili ni swali kwa wazazi wote na hata wanaotarajia kuwa wazazi hapo baadaye.

Je upo tayari kuwa na mtoto mwenye tabia kama zako?

IMG_3464.JPG


slide_416594_5293318_free.jpg
 
Moja ya vilio vya wanaume ukitoa kupata mtoto ni kupata wakufanana nae
 
Kuwa na watoto wanaofanana kitabia na sisi siyo mapenzi yetu bali ni taratibu za kigenetics ambazo ni lazima zifuate mkondo wake.
 
Sitaki kabisa mtoto wangu aje afanane na mimi kwa vyovyote vile.......

Mwanangu wa kwanza nataka afanane kiakili na kitabia kama Nicola Tesla na

wapili afanane kiakili na kitabia kama Albert Einstein........

Na wa nne afanane kiakili na kitabia kama Tundu Lissu...

Tano na sita wafanane kiakili na tabia kama Edward Snowden......

Wa
 
Back
Top Bottom