Habari,
Ajali imetokea Kata na tarafa ya Kate, Wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa.
Ajali hiyo ilitokea baada ya gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 425 BFF aina ya Fuso mali ya Bakari Kessy...
Hebu wataalamu mtusaidie kwanini jamii ya minazi inapenda kuota pembezoni mwa fukwe za bahari au kwenye ziwa maana kila nikiangalia fukwe nyingi zimetawaliwa na minazi
April 21 2014
Mtangazaji wa Radio One Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa
georgia-mugshot-search.com
umethibitisha taarifa hizo, huku...
Habari ya muda huu wanajamvi?
Poleni kwa shughuli na mihangaiko ya kila siku.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada kwa kuanza na maelezo machache.
Kanisa Katoliki lina utaratibu wa kufanya...
JUMUIYA ya raia wa Comoro waishio Tanzania wameiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi nchini kusaidia kupatikana kwa ndugu yao Ammar Abdousoi Madou (26) aliyepotea na kutoweka kusikojulikana tangu...
Habari zenu wapendwa wa jf natumaini mu wazima..
naitwa uwesu naomba msaada wenu tafadhali kwa anayemfahamu
Aliy mruma ana rafiki anaitwa ramadhani mkwiza mara ya mwisho kuonana ilikua mwaka...
Hakika watumishi tunasikitishwa sana na Ukimya Wa Vyama vya Wafanyakazi juu ya tangazo la Mh.Rais kuwa hataongeza Mishahara Kwa Watumishi.Watumishi tuliamini Viongozi Wa Vyama vya Wafanyakazi...
Tanzania tuna michoro Iringa na kwa warangi, tuna Olduvai Gorge, yenye kila aina ya vivutio na historia ya kudhihirisha binadamu walikuwa jamii ya nyani au sokwe, ndipo wakaanza kutembea, kupoteza...
Nimepita maeneo ya Mtava muda si mrefu nimeona magari ya fire yanaelekea huko..
===========
Later on..
DAR: Moto mkubwa unawaka katika kiwanda cha matairi cha Super Doll kilichopo barabara ya...
Kumbe! Kujenga si kazi ngumu kama unavyohofu
Jambo kubwa ambalo limekuwa likisababisha tafakari kubwa wakati wa mipango ya ujenzi wa nyumba ni namna ya kufanikisha gharama kubwa zinazohitajika...
Habari za mchana,
Huku nikitumaini sote tunatambua umuhimu wa Kundi hili,
Binafsi sioni Mantiki ya hiki Chama, or may be someone educate me,
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya baadhi wanasiasa...
Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga
Je...
Habari wana Jamii Forums,..
Kuna Jambo limenitokea Hii Ni Mara Ya Pili Kama Siyo Ya Tatu.
Kuna Hizi Public Computers Tunazozitumia Internet Cafe Kuingia Au Ku-Login In Kwenye Social Forums...
Hivi kweli serikali ya Mkoa wa Pwani imeshindwa kabisa kujenga stand bora ya mabasi? Miaka nenda rudi stand iko vilevile tena kuiita stand ni kuipa ujiko tu kile ni kiwanja cha vigodoro,
Yaani...
Nimekua kwa sehemu nafuatilia hotuba za mshua , mara nyingi upenda kutaja tabaka la watu anaowaita wanyonge,
kuwa ndio rais wao na anajitahidi kufanya yote yanayoendelea nchini kwa ajili yao...
Mapema Leo hii Wakili Msomi na Mweka hazina wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Ndugu Sadock Magai sambamba na Wakili wa Mh. Tundu Lissu katika kesi zake za uchochezi na Mtoto wa Rais Mstaafu...
Mimi ni mzaliwa wa Jolijo, Mwananyamala, nimekulia mwenye michiriku nimeicheza toka Nina miaka mitatu na mpaka leo nikisikia mchiriku unapigwa sehemu lazima nifunge safari.
Nikirudi EFM, hii Ni...
Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan anatarajia kutembelea Tanzania Oktoba 11 na 12 kwa mwaliko wa Rais John Magufuli.
Mtukufu Aga Khan atawasili Uwanja wa Ndege wa...
Je na wewe umo?
Watu wenye uwezo mkubwa kiakili (Mentally Strong People) ni watu ambao hujitawala kitabia, mihemko na kimawazo kwa kiasi kikubwa sana katika maisha yao ya kila siku katika hali...
Wadau kila binadamu tokea kuzaliwa anapitia hatua nyingi na hii ni kulingana na sababu kadhaa ikiwemo mazingira,imani itikadi n.k.
Hata hivyo zifuatazo ni badhi tu ya hatua muhimu kwa baadhi ya...