HATUA MUHIMU KWA BINADAMU

HATUA MUHIMU KWA BINADAMU

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau kila binadamu tokea kuzaliwa anapitia hatua nyingi na hii ni kulingana na sababu kadhaa ikiwemo mazingira,imani itikadi n.k.
Hata hivyo zifuatazo ni badhi tu ya hatua muhimu kwa baadhi ya watu wanazotakiwa kuzipitia;-
1) Kuzaliwa
2) Ubatizo
3)Kipaimara & Komunio
4) Nursery School
5)Primary School.
6) O level
6) Advanced Level
7) University degree- Mlimani
8) Posa
9) Kitchen Party ( ke)
10) Send off ( ke)
11)Harusi
12) Watoto
13) Wajukuu.
Karibuni.
 
Wazo zuri kabisa ila huo mlolongo ni wachache waliofanikiwa kuupitia wakafanikisha kutokuruka stage mojawapo.
 
Sasa university lazma iwe mlimani.... au inatupa history ya maisha yako kijanja????
 
Back
Top Bottom