Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Hivi kweli serikali ya Mkoa wa Pwani imeshindwa kabisa kujenga stand bora ya mabasi? Miaka nenda rudi stand iko vilevile tena kuiita stand ni kuipa ujiko tu kile ni kiwanja cha vigodoro,
Yaani wanapigwa bao na hata kawilaya ka Korogwe wana stand nzuri sana kuliko hiyo ya manispaa...aibu sana, hela inayoingia hapo ni kubwa mnoo but hata kuweka benchi la miti tu la kupumzikia abiria wameshindwa....Shubamiiittttt😡🙁🙁🙁