Walimu Jitoeni CWT,

Walimu Jitoeni CWT,

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
11,394
Reaction score
27,116
Habari za mchana,
Huku nikitumaini sote tunatambua umuhimu wa Kundi hili,
Binafsi sioni Mantiki ya hiki Chama, or may be someone educate me,
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya baadhi wanasiasa kudharirisha walimu, (Dumb politicians),
Tangu awamu ya nne hadi sasa,
Lakini nsimamo wa Chama hiki kutetea haki na maslahi ya Walimu haueleweki,
Jitoeni mjiunge vyama vingine, ni haki yenu kisheria.
Nawasilisha.
 
Ukitaka kujua hakuna mkate mgumu mbele ya chai mpe mtu aliyekuwa akipiga kelele akidai anapigania maslahi ya wanyonge cheo.
Sebastian Mkoba, alikuwa mwalimu wangu wa civics 0'level, alikuwa ni mtu wa kuisema serikali kipindi kizima akionekana mwanaharakati na mwenye uchungu sana ya kupigania haki za walimu.
Leo ni raisi wa CWT, hakuna kilicho change yeye anakula tu maisha na niliowauliza wanadai ana majibu mabaya sana pale anapohojiwa juu ya utendaji kazi wake na kuhusu pesa ya michango na pesa inayotokana na miradi ya chama.
CWT, ni sehemu ya wajanja kupiga pesa, ngoja na mimi nianzishe cha kwangu kitakachokuwa kina deal na kada nyingine ya wafanyakazi.
 
The best way ni walimu kujitoa na kuhamia vyama vingine, kitakufa Natural Death,
Last time kulikuwa na uvumi kuwa kile Chama kinachukua pesa huko CWT na kutumia kwenye campaigns.. What a shame.
 
Back
Top Bottom