Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Siro ameagiza wafanyabiashara na watu wote ambao wanakwepa kulipa kodi nchini kuchukuliwa hatua kali kwani wanarudisha nyuma na kuchelewesha maendeleo ya...
1 Reactions
86 Replies
8K Views
Baada ya makosa ya wazi katika kauli za Sirro na Mwigulu kuonesha kuwa kuna kitu serikali inajua kuhusu kushambuliwa kipenzi chetu Tundu Lissu, leo tena haraka ya kumjibu Zitto imewaumbua mno...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kuna uwezekano wa kupata dawa za kufuta makavu ya mishono ya mda mrefu.?
0 Reactions
14 Replies
16K Views
Anatafutwa na jeshi la polisi kokote alipo toa taarifa kwa 0672442185 Ni mwizi kaiba simu zenye thamani ya sh laki 6 na kiasi cha pesa cha sh laki 7 wazee usawa wenyewe huu yaani ni serious...
4 Reactions
84 Replies
18K Views
Katika dunia kuna vitu vingi vizuri vya kuvutia. Ila kudumu katika ule uzuri ili kionekane kizuri kila siku ndipo hutofautisha tabia hulka ya kila kitu kilichopo duniani. Kile ukionacho kikubwa...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Kuna kitu huwa sielewi unakuta mtu ana biashara yake au kazi nzuri lakini yupo tayrai kutukanwa na mashabiki wa Simba au Yanga kwasababu tu kutaka Uongozi.Hivi kuna siri gani kwenye hizi klabu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Nzega Bw.Godfrey Ngupula amewaagiza wamiliki wa nyumba za kulala wageni zilizokidhi vigezo vya kupokea wageni wa kimataifa wilayani humo kuajiri wahudumu waliosomea mambo ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Huku Zitto akidai mapato ya Serikali Kwa miezi ya Julai na Agosti yameshuka mpaka chini ya Shilingi 600 bilioni, TRA nayo inasema imekusanya jumla ya Sh3.65 trilioni kwa kipindi cha robo ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za mauaji baada ya kumshambulia kisha kumchoma mishale yenye sumu mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwara...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Juzi ndugu yetu alipatwa na ajali huko Chanika akawa ameumia vibaya sana . Wasamalia wema wakamkimbiza hapo Amana kufika kwa kuwa hakuwa na ndugu wakamfunga mfunga ule mguu na kumuacha hapo nje...
0 Reactions
4 Replies
902 Views
ukifuatilia aina ya viongozi wa vyuo au marais wa serikali za vyuo huwa ni mwepesi kuliko ule wa shule za misingi na sekondari. 1:Chuo hasa vyuo vikuu unaweza kuendesha maisha yako bila hata...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Najua kuna wimbi la wanaadamu wanaotumia vinywaji mbalimbali ikiwemo vile vyenye kileo na vile baridi ila baadhi yetu tumeenda mbali hata kutotumia baadhi ya vinywaji baridi. Kwangu mimi niliacha...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hawa Wamaerekani wanaotupa misaada (maarufu kama kwa hisani ya watu wa Marekani) wengi wao hawana uwezo wa kukabiliana na dharura inayohitaji dola mia tano bila either kukopa au kuomba msada kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Pete iliyopambwa kwa almasi kutoka kwa mgodi wa Cullinan Kampuni moja ambayo ni miongoni mwa kampuni kubwa za uchimbaji madini ya almasi Afrika, Petra Diamonds, imetangaza kwamba inakumbwa na...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele amezungumzia umuhimu wa baadhi ya makundi ya watu kupimwa matumizi ya dawa za kulevya. Makundi aliyoyataja Mkemia Mkuu wa Serikali ni pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi...
43 Reactions
213 Replies
34K Views
Mtaani na maeneo ya kazi yapo malalamiko kwa watumishi wa umma kuwa stahiki zao za madaraja, vyeo na madai yao, hawajalipwa mwaka wa 2 sasa. Je kura yako utawapa tena kwa wema huo????
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tajiri mmiliki wa ardhi ambaye pia amekuwa akisaidia wasiojiweza katika jamii, Mtawala wa Westminister Gerald Cavendish Grosvenor amefariki na kumwachia mwanawe Hugh Grosvenor urithi wa £9bn...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye ongezeko kubwa la watu wenye ugonjwa wa akili ambao wataalamu wa afya ya akili wanasema unarudisha kwa kasi ari na ufanisi wa utendaji kazi na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mvua iliyoambatana na upepo mkali imeezua mapaa ya nyumba 26 na kubomoa nyumba kadhaa #Katavi, huku watu watatu wakijeruhiwa
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…