Habari Wakubwa.
Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam...
Tangia Kibanda kuvamiwa sijui ni nani anakaimu nafasi yake maana kwa sasa magazeti hayo yanabomoa Chadema na kumujenga Lowassa , Soma gzt leo
Mambo yafuatayo yameongelewa:
1.Freemani Mbowe amempa...
wengi wamenipata nafasi ya kunifaham with this mozafanta smile kuwa nipo sexy sana and very romantic. wadada wengi wamenifuata inbox na kusema kumbe ndo ulivyo... unafanana na mwigizaji mmoja...
Mishahara ingetosha watu wasingefanya overtime!
Wanalalamika awamu ya tano mishahara haitoshi, kazi hakuna, bei ziko juu nk. Ni matatizo mazuri kwa uchumi wa nchi. Huko nyuma mishahara pia...
Greetings!
Katika pilika pilika zangu za maisha, nimejikuta nipo mkoani Arusha hapa Arusha Mjini. Nilichokiona leo katika hii barabara ya uhuru muda wa asubuhi ni magari ya polisi na yale ya...
Kutokana na habari kuwa zombie amefulia na kuwa sasa anatumia kagari kadogo bro wangu wa kitaa ambaye anahusika na mambo flan flan alilazimika jioni hii kunichukua tukamtembelee na tukakutana naye...
Habari wanaJF,
Wananchi wa eneo la Dundani Mkoani Pwani, wamekuwa wakikilalamikia kiwanda wa kuchoma taka kilichojengwa Kata ya Mkuranga. Kiwanda hicho huchoma takataka zilizotoka Hospitalini...
Nikifikiria Tanzania tangu, leo mtu anasimama jukwaani anasema "hii ndio Tanzania ninayoitaka" sielewi kabisa.
Leo ukerewe siku ya pili bila umeme. Bado TANESCO ipo, mkurugenzi kitambi mbele...
Amani iwe kwenu!
Kwanza niwapongeze mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa jitihada kubwa za kukusanya mapato ya nchi yetu, jukumu muhimu sana katika hatua za kujitegemea kama taifa.
Katika siku za...
Habari ndugu zangu.
Kwa sisi ambao ujana umeanza kufika ukingoni (mwanzo wa mwisho), tumekua tukijizatiti na kujiimarisha sana muda huu ukizingatia ndio muda wetu wa kuamua unafikia mwishoni...
Timu ya Maofisa wa Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya ziwa ikiongozwa na meneja wa kanda Bw.Lawi Odiero wamefanya oparesheni kabambe ya kukamata na kuwafungia wasambazaji na watoa huduma ya KEBO TV...
Kwa wale mlio na ticket za FastJet kipindi cha mwezi huu na ujao jiangalieni msije mkaachwa au kukuta mnaenda mapema mno airport. FastJest wamebadilisha na kuvuruga ratiba yote ya kuondoka kwa...
Katika taarifa za Habari zote mbili kuanzia ile ya Saa 2 na ile ya kutwa nzima ya Radio One ambayo huwa ni Saa 4 usiku ambazo zote leo zimesomwa na Mtangazaji ' Mwandamizi ' kabisa Abdallah...
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye ongezeko kubwa la watu wenye ugonjwa wa akili ambao wataalamu wa afya ya akili wanasema unarudisha kwa kasi ari na ufanisi wa utendaji kazi na...
Habari zenu wakuu mbalimbali,
Mimi nina ndoto za kufungua kampuni ya kusaidia watu wenye mazingira magumu pamoja na Marginalized populations wote, nitashughulika na kusaidia malazi, chakula...
Hivi kwani ni lazima kwenda kumuona Tundu Lisu? Kwa nini Watanzania tuna hii tabia ya kupenda kupangiana jinsi ya kuishi? Tanzania hata msiba usipoenda unasemwa, ni kwa nini tunakuwa wajinga namna...
>wasichana waliokuwa wakifagia ofisi za waalimu
>wale wote waliokuwa maskauti
>waliokuwa viongozi wa TYCS,UKWATA,HUIMA n.k
>waliokuwa wanapika kwenye nyumba za walimu
>Waliokuwa wagonga kengele...
Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.
Vigogo wawili wa chuo cha uhasibu (TIA) jijini Dar es Salaam, leo wamepandishwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili, la...