Kumbe wapiga madili bado wapo!Hebu angalia upigaji wa Chuo cha Ualimu Korogwe

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Nimejaribu
CC [HASHTAG]#ndalichako[/HASHTAG]
Cc [HASHTAG]#john pombe magufuli[/HASHTAG]
 
Attachments

  • KOROGWE TC-JOIN INSTRUCTION SEPT 2017.pdf
    191 KB · Views: 365
Nimejaribu kupita joining instructions ya korogwe teachers college baaaadhi ya mambo machache nimegundua kuwa kuna upigaji wa hali ya juuu unaondeshwa na mkuuu wa taaasi hiyo kwani kuna mambo hayako sawa nanitayaeleza.

1. Kuna hela ya vibarua ya mwanafunzi analipash 40000. kila mwaka sijaielewa hiii inaaamanisha nini? hebu mliopita korogwe ttc mtufahamishe hii hela inahusika na nini.

2. Ujenzi endelevu kila mwanafunzi analipa 10000 kwa muhula yaaani 20000 per year. Huuu ujenzi endelevu unahusiana na nini?

3. Pesa ya huduma ya kwanza 10000 kwa mwaka wakati huohuo wakati huo huo unalipa 10000 kwa ajili ya matibabu.

4. Pesa ya Nacte 15000 nimepitia baaadhi ya joining za vyuo mbalimbali za hii pesa haipo lakin korogwe ipo.Sijajua kama korogwe peke yake ipo ndo imeamliwa kufanya hivi.

5. Pesa ya taaaluma 25000kwa muhula , 50000 kwa mwaka. Hapo awali kulikuwa na pesa kwaa ajili ya mithani 50000 baaada ya Vyuo vya ualim kuanza kufanya mitihani kutoka NECTA pesa hiyo ni kama vile ilifutwa ikabaki 50000 kulipa kwa ajili ya mtihani wa mwisho.

Mytake: Nimeambatanisha joining instructions Vyuo ya korogwe Dakawa na Shinyanga lengo kulinganisha na kuona jinc gani korogwe iko tofauti na Vyuo vingine ingawa vyote ni vya Serikali.

Waziri wa elimu, Tamisemi Haya ndio mambo ya kushughulika nayo kwa serikali yetu ya wanyonge bado kuna watu/Viongozi wanaichezea hii.Ndalichako shughulika
Ndalichako
 
Kazi yenyewe ualimu. Lazima muda mwingine kuwa mwehu kutoa maamuzi. Afadhali kushona cherahani kuliko ualimu! Naapa kweli.
 
Itashughulikiwa hii believe me
Yaani watu wanajitengenezea ujenzi na mlo wa kila siku duu
 
Capture.PNG

Ndio maana hata akaunti ni mbili tofauti kati ya michango na ada!!!!
 
Back
Top Bottom