WATANZANIA wametakiwa kuondokana na dhana potofu kuhusu watu wenye ualbino kuwa wakizaliwa kwenye familia wanaleta mkosi kwenye familia husika na hivyo familia hiyo kutofanikiwa kimaisha.
Hayo...
OKTOBA 10 dunia imeadhimisha siku ya afya ya akili ambayo huadhimishwa kila mwaka. Siku hii ambayo inatambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), kauli mbiu yake mwaka huu ni ‘afya ya akili mahala...
Benki kuu ya Tanzania imeonya watu wanaoharibu fedha kwa makusudi kwani ni kosa la Jinai. Imesema tabia hiyo huisababishia hasara serikali kwani inalazimika kuchapisha fedha mpya.
Ameongeza kwa...
Jamani siku hizi ukiangalia taarifa ya habari azam two halafu ukaja ukaangalia na hizi tv nyingine yani unaona kama mazingaumbwe.
Hawako detailed, mtu anaogopa hata kutingisha kichwa...
Kitaalamu anajulikana kama 'Ornithorhynchus anatinus'
Tumezoea kuona mamalia wote wakizaa watoto kutoka tumbo la uzazi na kuwanyonyesha
Hii ni tofauti kwa mamalia huyu anaejulikana kwa lugha ya...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga RPC Benedict Michael Wakulyamba, amethibitisha tukio la mtoto kuungua hadi kufariki kwa moto uliowashwa na mama yake kwaajili ya kupikia wilayani Handeni.
RPC...
Ijumaa, October 13, 2017 Mawakili wa utetezi wa aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha, wameieleza Mahakama...
Dar es Salaam. Mama Maria Nyerere, amewaasa vijana kuzingatia utamaduni na michezo ili kuweka sawa akili zao.
Amesema michezo hukutanisha watu wengi na kuwawezesha kubadilishana mawazo yenye...
Nimeona habari ya Diwani wa Kawe nd Rwakatare kuwapa zawdi askari polisi wanaoonekana kufanya kazi yao vizuri.
Nami nawapongeza askari hao.
Lakini haswa hswa ji yule kijana askari mdogo anaitwa...
Jeshi la polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kukamata magari matano aina ya malori yaendayo minadani pamoja na abria 18 waliokutwa wamepanda malori hayo kinyume cha sheria.
Siku chache baada ya...
Mtangazaji nguli mstaafu wa BBC SWAHILI SERVICE SALEH ALLY ALBERTO akizungumza kwenye kipindi cha RITA POULSEN kinachorushwa na AZAM TV alisema ukifananisha watangazaji wa zamani na wa sasa hapa...
Mwanaume aliyeponzwa na kinywa chake aliitwa Yeftha.
Alikuwa ni mwana wa kahaba na kama haitoshi nduguze walimfukuza ili asirithi nao. Ila Israeli ilipovamiwa na Waamoni waisraeli walimtafuta...
Wazima,,
Sasa hivi hapa ,naona kila nikipiga naona CALL FORWARD ON CONDITION.
Nimechek kwe call setting nakuta namba nyingine imekuwa Enabled.
Simu yangu siku tatu mfullulizo sijampa mtu na ina...
Michezo ya kubahatisha huendeshwa kwa algorithm maalum (software) iliyokwisha kutengenezwa na wataalam wa hisabati inayo run kwenye machine maalum ya kuchezesha mchezo huo. Ile software lazima...
Je ni vyama vyenu?? Umoja wenu au nyinyi binafsi??
Ni nani wakuwasemea kwa Sasa kwamba mnaelemewa na kodi za nyumba Ada za watoto na hata wengine inabidi mkope nauli za kwenda kazini?!
Ni nani...
Habari,
Kumekuwa na nguvu kubwa kutushawishi kwenye uduma zenu za ttcl nasi tumeona tuunge mkono, maana ni shirika la umma, cha ajabu mmekuwa watu mnao toa huduma zisizo eleweka inakera...
kwema humu???
naomba kufaamishwa mwenye uelewa, hivi mende wanapitiaga wapi kuingia kwenye friji likiwa limezimwa???
nimejipanga kisaikolojia kwa kila aina ya jibu
Kwa kawaida Idara ya Hali ya Hewa huwa inatoa jinsi mvua itakavyonyesha kwenye kila kipindi mfano vuli lakini mpaka sasa hatusikia tamko kutoka Idara husika.
Takribani mwezi mmoja uliopita nilienda kigoma wilaya ya kasulu katika kijiji cha kabanga!
Kulitokea tafrani ambapo mwananchi mmoja aliuwawa na wananchi wenye hasira kal(sitalizungumzia hili)...
Alafu hii tabia ya baadhi ya watu wanaotoka mjini kwenda mikoani na pakti mbili za unga wa ngano, lita mbili ya mafuta ya kupikia na nazi kumi halafu wakitaka kurudi mjini wanabeba kg 20 za...