AFANDE RPC (R)RCO(R)STAFF OFFICER (R)OPP OFFICER (R)OCD MABWEPANDE
YAH: TUKIO LA KIFO CHA MASHAKA
GBA/IR/142/2021
MLAL: O.A.MSHANGAMA - ASP
Mlalamikaji anaeleza kuwa mnamo tarehe 16/1/2021...
Wanabodi
Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, Aprili 17, 2026 akiwa Bungeni amefafanua hoja ya wasailiwa kada tofauti kukutana na maswali tofauti na masomo yao...
Siku moja baada Wakili Peter Kibatara kuripotiwa kufungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya IGP kutokana na Polisi kumshikilia Pauline Pallangyo (Gms_walterss) kwa siku 9 kinyume cha sheria, leo April...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Roland Mollel Askari Polisi mkazi wa Jiji la Arusha, yaliyotokea tarehe 15.04.2026 usiku huko katika mtaa wa...
Nipo pembeni mwabkitanda changu nimekaa na kikombe cha kahawa,isiyokuwa na maziwa au sukari.Pembeni kuna redio ndogo nasikiliza mambo mbalimbali kwa sauti ya chini sana.Kitandani kalala mke wangu...
Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi...
Kituo cha Mabasi Korogwe Mkoani Tanga kibovu mashimo yamejaa tunatoboa matairi, ushuru tunalipa ila ni kero tupu.
Tusipoingia tunakamatwa, hela zinaenda wapi za ushuru wa magari Stand ni mbovu...
Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia
Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma...
Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia.
Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia
Kuanzia...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko...
Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi.
Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii...
Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo. Humu JF 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member...
Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea...