Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amezindua zoezi la ujenzi wa Ofisi za kisasa 402 za Walimu Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema ujenzi wa Ofisi hizo utaenda kwa kasi ya hali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari Chanel ten leo Alhamisi 02/11/2017 saa moja jioni sikuamini masikio na macho yangu, kuona na kumsikia mtu anasema "Serikali ipromoti impunity" jamani! Au labda mimi sijuwi...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
So far nimekuwa nikivutiwa sana na Hilder Ringo wa fastjest kwa sasa mwenye list, picha na CV zao baadhi ya wanawake marubani kutoka Tanzania. Share hapa please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama nilivyoandika uzi mwezi May 2017 "Msoto mwingine kwa watumishi waja" ndani yake nikaelezea kuwa watu wasitarajie ongezeko la mshahara mwezi Julai 2017 walionielewa walielewa. Sasa nawaambia...
8 Reactions
151 Replies
15K Views
Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imewanzisha utaratibu kwa bodaboda wote kuwa na leseni za biashara bila kuwa na kikao nao wala kujadili jambo hili, hali hiyo imesababisha usumbufu mkuwa sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kuna wageni, kama vile wachina wanasema wanakuja kufanya utalii lakini wakifika wanapokelewa na wachina wenzao hasa kwenye kazi za barabara (ujenzi wa barabara), migodi, n.k . ukifika kwenye hizi...
0 Reactions
7 Replies
984 Views
Energy drinks mfano (redbull, azam, mo, kung fu) zina madhara makubwa kwenye moyo kama utazidisha unywaji au kama una allergy na caffeine
4 Reactions
77 Replies
21K Views
Habarin wadau, samahani naomben kuuliza eti matembezi ya hisani yapoje yapoje kwa maana huwa nasikia watu fulani wameandaa matembezi ya hisan kuchangia labda watu wenye kansa,elimu, mayatima, au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wawili wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya basi la Nkondo lililokuwa likitokea Arusha kwenda Mwanza baada ya kugonga kichwa cha treni eneo la Karogho Relini katika Manispaa ya Shinyanga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, limesikitishwa na kitendo cha utawala wa halmashauri hiyo kuipatia kazi kampuni ya ujenzi ya Ikonda kujenga chumba cha upasuaji katika...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), limeipatia Wizara ya Afya Zanzibar, vifaa maalumu vya kumgundua mtumiaji wa dawa za kulevya kwa kumpima mkojo...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Ustarabu wa wenzetu ni kusimamia kile anachokiamini na ikitokea anaingiliwa na boss wake au kulazimishwa kufanya jambo ambalo anaona si sahihi, basi uamuzi wa wenzetu katika mazingira ya aina hiyo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchi tisa za Afrika ziko katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa mafua ya ndege, na tahadhari imetakiwa kuchukuliwa dhidi ya ugonjwa huo ambao unaenezwa kwa njia ya hewa. Tahadhari hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF Yafuatayo ni mambo ambayo lazima tukubali kutokubliana: 1. Yanga ni timu bora zaidi ya simba and vice versa; 2. CCM ni chama bora kuliko CHADEMA and vice versa; 3. Mademu wembamba...
0 Reactions
11 Replies
980 Views
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa...
4 Reactions
76 Replies
9K Views
Kukiwa na utaratibu wa Vyuo Vikuu vyetu vikubwa nchini Tanzania ambavyo ndiyo kila uchao vinatutolea ' Wasomi ' katika ' Nyanja ' mbalimbali kuwavua Degree au Masters au PhD's zao wale waliokuwa...
3 Reactions
5 Replies
725 Views
Watu 34 wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, (Albino), ambapo matukio 67 ya ukatili dhidi ya albino yakiwa yameripotiwa. Takwimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba tuweke siasa pembeni, Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme...
11 Reactions
58 Replies
5K Views
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Najitahidi kuwaza kwa sauti kuhusu yule Askari aliyepayuka kwa sauti na kufyatua risasi hewani akujua anatekeleza majukumu yake kama ambavyo alikuwa akisikika akisema "Kwa nini hauheshimu bendera...
2 Reactions
3 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…