Wizara ya mambo ya ndani angalizo

Wizara ya mambo ya ndani angalizo

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
828
Reaction score
709
Kuna wageni, kama vile wachina wanasema wanakuja kufanya utalii lakini wakifika wanapokelewa na wachina wenzao hasa kwenye kazi za barabara (ujenzi wa barabara), migodi, n.k .
ukifika kwenye hizi sector kuanzia mpishi, mlinzi, dereva wote ni wachina, wabongo wanapewa kazi za hovyo sana.

wana jf hivi ili mtu aweze kukaa hapa nchini na aweze kufanya kazi anatakiwa awe na vigezo gani?

wanajifanya watalii wanakaa miaka miwili wanaondoka, hasara serikali inayopata

1. permit fees hawalipi
2. unemployment kwa watu wake
3. wanaondoka in income yote

naomba hii wizara Muweke uzalendo mbele kuliko maslahi yenu

Nafikiri rais aangalie wizara hii kwa jicho la pili maana inamuangusha
 
Wazamiaji hawatakwisha hata uzibe mipaka kwa nyaya za matundu ya neti.

Wabongo nchi nyingi tu wamejaa na hawapo kihalali.


Ila sina maana watu wasifuate taratibu za uhamiaji.
 
Wasinge tuchukua kwenda Utumwani...!!
Pole ila vijana siku hizi mnakali ubishi na uzembe kazi kumnanga JPM na serikali yake. Uvivu umepelekea hata kuwa goigoi katika masuala ya chumbani nyie mnaita nguvu za kiume.
 
Pole ila vijana siku hizi mnakali ubishi na uzembe kazi kumnanga JPM na serikali yake. Uvivu umepelekea hata kuwa goigoi katika masuala ya chumbani nyie mnaita nguvu za kiume.
Sijakuelewa hapa Mkuu...!!
 
Back
Top Bottom