Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kijana aliyelelewa na babu yake mpaka akakua, kwani wazazi wake walifariki miaka mingi iliyopita wakati yeye akiwa mdogo bahati mbaya babu yake nae akafariki, sasa anaishi maisha ya vibarua...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Sio maneno yangu, ni maneno ya Sheikh hapa 😂😂
2 Reactions
20 Replies
401 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa Google ni Mhindi [emoji1128] 2. Mkurugenzi mtendaji wa Microsoft ni Mhindi [emoji1128] 3. Mkurugenzi mtendaji wa YouTube ni Mhindi [emoji1128] 4. Mkurugenzi mtendaji wa...
20 Reactions
150 Replies
9K Views
Kijana unakimbizana na bodaboda/bajaji kuanzia asubuhi mpaka usiku, mwisho wa siku unabaki na 20k–30k. Ndani ya hiyo 30k una mwanamke/mke unaishi nae, deni linakusubiri, chombo ni cha mkopo, home...
25 Reactions
86 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Masauni leo Aprili 21, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla. Mfanyabiashara huyo...
31 Reactions
99 Replies
2K Views
Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara...
0 Reactions
8 Replies
239 Views
Mimi ni mwalimu wa masomo ya art na nimehitimu degree mwaka 2016 katika chuo kimoja mkoani Tabora. Binafsi ningependa kutoa uzoefu wangu kama mwalimu wa masomo haya dhidi ya wenzetu wa sayansi...
9 Reactions
28 Replies
521 Views
Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Habari zenu wakuu. Wakuu kuna polisi wanajivunia sana hii kazi ya kitumwa tena wanaitumia kutukomoa... Jana jioni nilifika home nikitoka NONDE-SUA,nikaona kwakua nipo home ngoja ni pack ki crown...
4 Reactions
53 Replies
621 Views
Mwanzo 2:2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya. Hii ina maana gani, ni kwamba Mungu kile kitu...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Kuna kitu nime witness Leo kwenye daladala, Kuna mama sjui bibi! Alikua na mtoto mdogo, very innocent.. inaonekana kabisa hakua mama yake, yule mtoto hakua comfortable, alikua anaumwa jino...
4 Reactions
12 Replies
301 Views
BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana...
1 Reactions
3 Replies
148 Views
Kijana aitwae Emmanuel Paschal (19) ambaye inaelezwa ametuhumiwa kuwa ni mwizi na watu waliojitambulisha kuwa ni Sungusungu katika kata ya Olasiti Jijini Arusha, amefariki dunia kwa madai kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara...
2 Reactions
41 Replies
723 Views
Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Anonymous (22da)
Kisarawe2 barabara tuliahidiwa barabara itatengenezwa ila toka wasitishe mwezi wa pili mpaka sasa barabara imeharibika. Isitoshe hio, wamekataza magari makubwa kupitia njia ya Geza, kwa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…